Nataka kujua

comson

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
288
41
Hv wana JF huyu maalim Seif Sharif Hamad ana kazi gani......? Au ndo yale mamlaka makubwa lakini ni kama bure tu.
 
hv wana jf huyu maalim seif sharif hamad ana kazi gani......? Au ndo yale mamlaka makubwa lakini ni kama bure tu.

kazi yake kubwa ni kutembelea na kuzindua miradi hii ikiwa ni pamaoja na kukipigia debe chama cha magamba,......tafakari
 
Ndio ndoa za ukubwani unaacha wanao wanatangatanga wewe unajichana na bwana mwenye pesa za kifisadi wakati hata kizazi kilishaondolewa.
 
Hakosi mkasi kwenye kanzu au suti kwaajili ya kukata utepe kwaajili ya kuzindua miradi! Unajingine?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom