Kitila mkumbo afokekewa Zanzibar ambiwa akae kimya hajui Mambo ya Zanzibar

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,402
15,982
Kuna video inatembee San ktk mitandao ya kijamii ikisemekena kuwa proof kitila mkumbo amefekokewa vikali huku Zanzibar

Sijajuwa lilikuwa ni kongamano gani limefanyika huko na kumuibuwa waziri huyu wa uwekezaji ,ndipo akatokea mam mmoja akamuambia akae kimya aache kuzunguzma mambo ya Zanzibar Kwamba hayajui vzr Ni vzr akae kimya

Nimesikiaa hyo clipu na nimefurashishwa sna kwa jinsi mkumbo alivyo kutana na mwanamam machachari mwenye kalbar za maalim seif ambae hapepezi maneno
Alisema" Zanzibar Hakuna amani Bali Kuna utulivu tu na uvumilivu"

Mm nimeshindwa kuipandisha hyo video humu ilaa ianzaaga snaa

Ingawa prof Ni mtu makini na anajuwa kujenga hoja na asiye na hofu ila safarii hi kakutana na mwiba mkali

Namuomba prof aache kukurupuka kwa mkumbo Zanzibar Kuna watu hawana aibu
 
Iko wapi hiyo clip
 
Akifokewa ndio vizuri sana.
Kuna wakati watu wanachoka uongo uliopindukia na ujuaji wa hawa viongozi.
Wacha wale za uso tu hakuna namna.
 
Sio kila saa uwe unaanzisha uzi. Hiyo video na huo uzi upo humu. Unatujazia server tu za JF dogo. Uwe unasoma pia nyuzi kabla hujakurupuka kuanzisha mpya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom