Nataka kujua uhalali wa Kalynda E- commerce

Sasa una tofauti Gani Na Deci?
 
Mimi hizi issue za mitandao siweki hela yangu anaekuja kuja kunishawishi namwambia yeye ndo anipe pesa nikipata faida kama asemavyo nitamlipa
Hayupo wa kukupatia sasa
 
Mtaulizwa mlikuwa hampati faida? Mlitishiwa msipotuma pesa? Mlikuwa hamfurahii huduma? Mlikuwa hamnunuii izo bidhaa? Majibu yote yatakuja yes mtaulizwa mnamshatki nani kama pesa mlikuwa mnanunua bidhaa ,
 
Kuna watu wanapenda kitonga aisee..
Network marketing
Betting
Hapana kwa kweli
 
Ila wabongo wanapenda kupigwa, afu mwisho wa siku kulalamika,kama hamkujifunza desi,qnet msilalamike endeleeni kujiunga tu kila kampun inayofunguliwa,,,watu wanapenda miteremko sana aisee!
 
Sisi wenyewe pia tulishawishiwa ila all in all mimi sijapigwa maana nilishatoa zamani nikasepa zangu
Wote wanasema hivyo ila humu ulikua unashawishi watu matapeli wamekimbia mnakuja na mguu mmoja nikatoa nikasepa zangu mara hata hivyo nimekula nyingi...
 
Acha maswali mengi sisi huku tumejiunga longtime kwa sh 20,000 na kila siku unapiga kamisheni ya sh 800 siku zinavyoenda mbele kamisheni inaongezeka kwa sasa napiga 6000 kwa siku.. jiunge hapa kwa link hii maisha magumu!! Kalynda
Ponzi scheme
 
Deci,Qnet, Jatu Plc etc,etc.
 
Watu watatoka machozi soon😁😁
 
Wote wanasema hivyo ila humu ulikua unashawishi watu matapeli wamekimbia mnakuja na mguu mmoja nikatoa nikasepa zangu mara hata hivyo nimekula nyingi...
Ukialika mtu kulikuwa na gawio fulani unapata kwa hiyo inabidi uconvice watu wajiunge kupitia link yako ili upate gawio lako ila uvumi ulikuwepo kuanzia katikati ya mwezi wa 9 kuwa jamaa wanataka kukimbia walijaribu kutupoza na kudai huo ni uongo, lakini sisi wengine tuliamua kutoa hela na kuachana nao ila wengine waliamua kukomaa ndio hao wanaolia
 
Wakenya na Wanigeria watawapiga sana hao Watanzania ni chambo tu hizo tunaita washa washa na zipo nyingi mno hiyo ni moja ya sindano zake watakuja na dozi zingine tena wanaenda kwenye Nchi wanayolalamika sana kuhusu maisha magumu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…