Nataka kujua mchanganuo wa kilimo cha matikiti

savo

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
293
233
Habarini wana JF? Mungu amewapa uhai wake tena siku ya leo, mbarikiwe sana.

Samahani, Nilikuwa na pesa fulani hivi sasa nahitaji kuwekeza katika kilimo cha matikiti nifanyaje? Naweza pata mchanganuo ulio kamili kwa mfano nikitaka kulima heka moja kwa kuanzia. Tafadhalini naombeni ufumbuzi juu ya ili suala.
 
Unataka kulima wapi? Je shamba la kwako ama la kukodi? Je mfumo wa umwagiliaji ukoje? Hiyo pesa fulani ni kiasi gan? Hayo ni maswali ambayo ningependa ujibu kwanza?
 
Back
Top Bottom