Tafuta ofisi yoyote karibu na mtaa wakoKutoka moyoni kabisa nataka kujiunga na CHADEMA process zake zikoje? Natamani kuungana na makamanda katika harakati za kuiondoa CCM.
Nisaidieni makamanda na pia mniunge kwenye group la makamanda.
Nenda Lumumba shati kubwa la kijani linakufaa, akili zako hata barabara haziwezi kukuvusha wewe unafaa kupanda maroli ya mchanga ukatikiKutoka moyoni kabisa nataka kujiunga na CHADEMA process zake zikoje? Natamani kuungana na makamanda katika harakati za kuiondoa CCM.
Nisaidieni makamanda na pia mniunge kwenye group la makamanda.
Ungesubiri baada 29 oct.Kutoka moyoni kabisa nataka kujiunga na CHADEMA process zake zikoje? Natamani kuungana na makamanda katika harakati za kuiondoa CCM.
Nisaidieni makamanda na pia mniunge kwenye group la makamanda.
Ulipotea sana we jamaaKutoka moyoni kabisa nataka kujiunga na CHADEMA process zake zikoje? Natamani kuungana na makamanda katika harakati za kuiondoa CCM.
Nisaidieni makamanda na pia mniunge kwenye group la makamanda.
Huyu team Magu tumezingua sana humuWe jamaa ulipotea sana kama kumbukumbu zangu ziko vizuri ulikuwa mtetezi wa Magufuli wewe na mwenzako Bia Yetu. Karibu sana.
Kuna wanaCCM wengi bado wako CCM lakini wanasema hawamtaki Samia lakini wanampenda Magufuli wakati Magufuli ndio muasisi wa siasa hizi za mkono wa chuma.Huyu team Magu tumezingua sana humu
Ameona wenzake wanatekwa akili zikamrudiaWe jamaa ulipotea sana kama kumbukumbu zangu ziko vizuri ulikuwa mtetezi wa Magufuli wewe na mwenzako Bia Yetu. Karibu sana.
Sasa hivi hata huko CCM wanatekana😆😆Ameona wenzake wanatekwa akili zikamrudia
HAtari sanaSasa hivi hata huko CCM wanatekana😆😆
Former mataga LB7Kutoka moyoni kabisa nataka kujiunga na CHADEMA process zake zikoje? Natamani kuungana na makamanda katika harakati za kuiondoa CCM.
Nisaidieni makamanda na pia mniunge kwenye group la makamanda.
Sitaki Chauma nataka kujiunga na makamandaUkitaka kuhamia CHAUMMA wasiliana na Mheshimiwa mbunge mtarajiwa wa Kigamboni, ndugu Yericko Nyerere. Yupo humu.