Nataka kujiunga na CHADEMA, nifanyeje ?

Nataka kujiunga na CHADEMA, nifanyeje ?

Kutoka moyoni kabisa nataka kujiunga na CHADEMA process zake zikoje? Natamani kuungana na makamanda katika harakati za kuiondoa CCM.

Nisaidieni makamanda na pia mniunge kwenye group la makamanda.
Kwa akili hizi, hufai kuwa chadema.

Yn hujui process za kujiunga chadema?
 
Back
Top Bottom