SHAFII ABDALLAH
Member
- Jun 5, 2013
- 23
- 1
Freemason member tumetoa miasaada mingi hapa kwetu tanzania kama ,montessor school(jijini mwanza) mnazi mmoja hospital (iliyopo zanzibar) missionaries of charity, shule ya walemavu(buguruni jijini dar es salaam,) ni katika miradi ya free mason tanzania. pia tumejenga madarasa ya shule ya msingi kinondoni (dar es salaam) na kutoa pauni za uingereza 15,000 mnamo mwaka 1996 katika ajari ya mv bukoba.
Jiunge na grand lodge freemasonry tanzania 0769 900238 tanzania ,
lodge hizihizi au lodge zipi?