Nataka kujiendeleza kielimu naomba msaada wa haya

Pacbig

JF-Expert Member
Oct 15, 2017
1,095
2,079
Ndugu JF members poleni na majukumu.mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo cha Sebastian kolowa Memorial university nasoma bachelor of education special needs upande wa hearing impairments.

Ninatamani kuja kusomea ideology katika level ya masters degree.hasahasa huko Scandinavian countries.

Naomba msaada katika haya

1.Sina uhakika kwa mtu uliyesoma special education kwa kuspecialize hearing impairments kama unaweza kusoma ideology katika level ya masters degree maana mimi nimesoma arts. Naomba mnijuze.

2.Utaratibu wa malipo na accomodation upo vipi huko Scandinavian countries?

3.Kama kuna mashirika yanayofinance mtu kusoma ideology naombeni mnisaidie kunipa detail.

Vilevile kama kuna link yoyote ambayo ni mhimu nikaipitia naomba muitupie hapa.

Karibuni kwa msaada wadau
 
Back
Top Bottom