Nataka kujenga hapa ila kuna utata

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,377
8,075
0b55fd28516f5e866197f32cee0d54b2.jpg

wakuu habarini, nina eneo langu ambalo halijapimwa nataka kujenga ila sasa utata eneo hilo nilipochek gps manispaa nikakuta limeingiliana na viwanja vingine katika mchoro kama inavyoonekana katika picha hapo juu, eneo lenyewe ni hilo lililozungushiwa mistari
mweupe. ushauri je nijenge?
 
Back
Top Bottom