eliakim xavery
Member
- Apr 24, 2015
- 98
- 74
Mimi hapa nina kipaji cha kuandika Story zenye kiburudisha na kufundisha pia
Natamani kuingia Bongo Movie ili nifanye Mapinduzi makubwa na Kuikuza zaidi Tasnia hii na kuifanya ifikie level za juu zaidi lakini nashindwa na kosa pia namna ya kuingia kwani mala kadhaa nmefanya Mawasiliano na Wasanii kadhaa lakini bila mafanikio. Naombeni ushauri nifanyeje ili kuingia Bongo movie jamani.
Kipaji changu chemichemi hakiwezi kukauka.