Nataka kuhamia continental decoder, watumiaji wake niambieni ubora

Nataka kuhamia continental decoder, watumiaji wake niambieni ubora

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,123
Reaction score
24,401
Startimes sasa hivi wamejirekebisha mno sasa mambo ni safi ispokua lazima ulipie ndo uone channels ila wamebadilika sana kiukweli wapo vizuri ila kwa sasa nataka continental
Vipi kwa watumiaji wa continental decoder?Kisimbusi chao kwa sasa kina ubora? Nataka nikanunue cha continental
Vipi wana local channels
Vipi ubora wa picha ukilinganisha na ving'amuzi vingine
Vipi ubora wa picha za channel zao hususani zile za star bunge, star drama, star e, star tollywood, nk?Zina ubora wa hd?
Vipi vifurushi?
 
watumiaji wa continental njoon
 
watumiaji wa continental njoon
 
watumiaji wa continental njoon
 
Nina mwezi sasa silipii king'amuzi cha startimes Sikielewi,, chanel chache halaf nyingi ni katuni ikitokea nikanunua kifurushi cha mwez haifiki mwezi kimekata.. Je hii ndio hali halisi ya startimes??
 
Ving'amuzi ni majanga kwa sasa na wahusika wapo kimya tu
 
mimi siwatak startimes daaah sijui niende wap mm
 
watumiaji wa continental duuuuh
 
Back
Top Bottom