Bob Lee Swagger
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 1,362
- 519
Badala ya kujadili mambo ya maendeleo mnajadili simu!!!
Bure kabisa...
zina-range kwenye bei gani hizo samsung ace plus au hiyo Sony xperia e kwa hapa dar!?
bora ambaye hata wazo la kubadili simu limenijia kwa hiyo pesa kuliko uliyebakia kuwaza maendeleo kwa kujifungia ndani ya box la kubakia conservative, at least am thinking of moving forward.
Nikiona kijana kutwa nzima anajadili simu, viatu na pamba huwa nasikitika sana!
We kodi ya simu sh. elfu 1 kulipa hutaki, sasa unataka kubadilisha OS ya nini? au umeahirisha kushiriki ule mgomo wenu?
Mwalimu wa kiswahili asiyejua kusoma!!! Mtoa mada amesema kama huna msaada usichangie chochote jifanye kama hujaona,mbona una kiraru?
Nikiona kijana kutwa nzima anajadili simu, viatu na pamba huwa nasikitika sana!
hio laki 2 na nusu
leo nimeelewa kwa nini serikali inawakataza watu msivuute bangi!!!Wewe ni BURE kabisa. Lazima ujifunze lengo kuu la kitu unachokikumbatia.
Apps nyingi zimetengenezwa ili kukufanya wewe uwe mteja wa biashara za watu. Kijana ambaye ulipaswa kufikiria jinsi ya kupata maendeleo unaishia kujadili aina ya simu unayotumia kila siku. The way hii dunia ilivyo complex nikiona kijana anahaika na fikra za aina ya simu wanazotumia watu waliomzunguka sisiti kumwambia kuwa ni BURE kabisa.
Mkuu,
Kuna mtindo mpya wa jeans madukani, ushanunua?
Halafu kuna viatu vikali, toleo jipya, ushanunua?
Na simu za android samsung galaxy, kali sana, ushanunua?
Hahahahahahahahahahahaa. Watu wanawaza simu, mavazi na ngoma halafu wanafikiri maendeleo yatawafuata kibarazani!!!
tumevamiwa humu leo kitimoto kaingia msikitiniNyinyi ndio mnawashawishi wenzenu wagome kutumia simu kumbe nyinyi ndio kwanza mnabadilisha OS ili mtumie simu vizuri zaidi!!!
"Technology does not replace people - it enables people; it only replaces people when they do not know how to wield it" ,,,lengo kuu la jukwaa la Science and Technology ni kuelimishana kuhusu mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia kwahiyo kama husaidiki katika jukwaa hili wapishe wenzio!! ,,No sustainable Development without Communication Technology,,,We hela yenyewe uliyo nayo laki 2 na nusu halafu unawaza kubadilisha simu tu!!!
mkuu ili simu ichange os inabidi bootloader iwe watu wameweza kuinlock so far htc ya windows phone inayokubali kuja android ninayoijua ni hd7
nami ninayo hyo hyo hd7.. nawezaje kuibadilisha?
leo nimeelewa kwa nini serikali inawakataza watu msivuute bangi!!!
Sound like you are a very one-dimensional individual!wa zamani mno... almost Jurassic.....Dunia ya leo ni information-driven ndugu..sasa kama watu wanapata information ni simu ipi yenye app gani wanunue ili kupata na kurahisisha mawasiliano ww unawaona wajinga....wewe ndo mjinga zaidi kwa kujifanya unajua sana kila kitu!Hata tone unayotumia tu kukosoa wenzako inakufanya uonekane kama Chief Mangungo wa Musovero!Wewe ni BURE kabisa. Lazima ujifunze lengo kuu la kitu unachokikumbatia.
Apps nyingi zimetengenezwa ili kukufanya wewe uwe mteja wa biashara za watu. Kijana ambaye ulipaswa kufikiria jinsi ya kupata maendeleo unaishia kujadili aina ya simu unayotumia kila siku. The way hii dunia ilivyo complex nikiona kijana anahaika na fikra za aina ya simu wanazotumia watu waliomzunguka sisiti kumwambia kuwa ni BURE kabisa.
Ok pamoja na yote mliosema.kuuliza si ujinga hilo mlitambue.nina ila kuhusu android unweza akatafuta cm za android ikiwa utapata nexus one mpaka 10 au zilizo tengenezwa na geribean itakufaa maana os nimoja lakini watengenezaji wengi.