Nataka kuhamia android world; ushauri tafadhali

Hana ajualo huyo bogus. Utapoteza muda wako bure kujibizana naye.. . Niko na swali. Je inawezekana kuchange os ya windows kwenye htc phone ikawa jelybean?

mkuu ili simu ichange os inabidi bootloader iwe watu wameweza kuinlock so far htc ya windows phone inayokubali kuja android ninayoijua ni hd7
 
Nadhani wewe bado watumia Nokia 3310 na desk top la chogo lenye windows 98 maana it seems you're so conservative kwa hiyo mitazamo yako, people do move on with new technology.
 

zina-range kwenye bei gani hizo samsung ace plus au hiyo Sony xperia e kwa hapa dar!?
 

Mkuu, huyo bwana kawa mwanasiasa uchwara ambaye anahisi hata akiwa kitandani na mkewe ni sehemu ya kuhubiri siasa. Ndio maana anaishi ndani ya box na anafikiri yuko salama kwa kuishi maisha ya karne iliyopita ndani ya karne hii. Ignore him...
 
Nyinyi ndio mnawashawishi wenzenu wagome kutumia simu kumbe nyinyi ndio kwanza mnabadilisha OS ili mtumie simu vizuri zaidi!!!

Wewe jamaa unakipaji cha UJINGA, siasa zimekulemaza vibaya unataka kila jukwaa liwe la CCM na CHADEMA.
kitu ambacho hujui ni kwamba hili ni jukwaa la wanatekinolojia, sio la blabla kama kule unakokesha na siasa za majitaka.

Tafadhali tuachie jukwaa libaki kuwa la kistaarabu.
ujinga ujinga wako kaa nao Lumumba.!!!!
 
mi nilijua bwana ZeMarcopolo ni mjinga kumbe ni -------- mkubwa. ndo maana vijana wetu wanachora zombi kwenye mitihani, kama walimu ndio kama wewe. eti unasema watu walipe kodi ya simu, we mwendawazimu, ukiambiwa ufanye kitu unafanya hata kama unaburuzwa chief-mkwawa na Nicas Mtei mnapoteza muda wenu kujibishana na huyu bwana hata sijui katoka wapi, umeniboaaaaaaa to the maximum, kama huna hoja rudi likotoka sio kudandia magari kwa mbele
 
Last edited by a moderator:


Kituko ni pale anayeingiza vyama vya siasa kujiona hajaingiza siasa. Aliyetaja vya ni wewe...
 

We SIFURI kubwa kabisa. Yaani kutwa unajadili simu na mavazi halafu unalalamika kuwa huendelei!!!
 
Mtwange BAN kuingia jukwaa hili! anatuchefua.
 
Mkuu Chief, mi nina HTC sprint ni window phone na iko slow sana siwezi hata kudownload vitu imebidi niiweke tu ndani siitumii, Je naweza kuibadili OS iwe Android?

mkuu ili simu ichange os inabidi bootloader iwe watu wameweza kuinlock so far htc ya windows phone inayokubali kuja android ninayoijua ni hd7
 
sasa mkuu wanishauri nichukue simu gani ya yenye OS ya Android ambayo ipo kwenye around laki 2.5??

Kwa bei hiyo mkuu ukitaka huwezi kupata simu nzuri mpya ya Android kwa sababu simu nyingi za android ni touch screen na touch screen karibu zote ni expensive.Kwa upande wangu mimi nakushauri uchukue used to kama chief-mkwawa alivyokushauri. Temebelea jukwaa la matangazo madogo ili kukutana na wauzaji na kujichagulia simu upendayo.
 
Last edited by a moderator:

anyway funika kombe mwana haramu apite!
 
Last edited by a moderator:
We SIFURI kubwa kabisa. Yaani kutwa unajadili simu na mavazi halafu unalalamika kuwa huendelei!!!

Hivi yale malimbikizo yako umeshalipwa? Maana isijeonekana unawaza sana maendeleo kumbe it's from a stressed guy.
 
We hela yenyewe uliyo nayo laki 2 na nusu halafu unawaza kubadilisha simu tu!!!

bora ambaye hata wazo la kubadili simu limenijia kwa hiyo pesa kuliko uliyebakia kuwaza maendeleo kwa kujifungia ndani ya box la kubakia conservative, at least am thinking of moving forward.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…