Nataka kuhama nchi nifanyeje?

Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
353
Kwenu wana JF nimekutana na huyu m2 ktk huduma yangu. Anasema:- Mie ni kijana wa miaka 30, niko na akili timamu, na nimechoka kuwa mtanzania. Ninataka kuhama hii nchi niende hata somalia ila procedure sizijui. Nimechoka kila ki2 kinachoendelea ktk nchi hii, haki sio haki tena. Maisha yamekuwa magumu, nyumba ye2 gongo la mboto imebomolewa kwa mabomu, fidia ilikuwa buku jero, ile ya kule kijijini imepigwa ex eti bomoa, barabara inapanuliwa na hakuna fidia! Tukaishi wapi sasa? Mama na baba ni jobles, biashara ya mamalishe mtaji city wameufilisi,tutakwenda wapi? Nimeambiwa nikalime, nikalime wapi na nini? Nimemaliza chuo miaka 4 cjaajiriwa niende wapi wakati kuna ndugu 5 na wazazi wananiangalia mie, first born na msomi wa family? NISAIDIENI MAWAZO JAMANI!
 
Nilifikiri ni GeniusBrain pekee aliyechanganyikiwa.......Kumbe mko weng humui!!
 
pamoja na kuwa tuna matatizo mengi sana ya kijamii, kisiasa na kiuchumi hatuna haja ya kulaumu kwa nini tumezaliwa watanzania, kitu pekee tunachoweza kuamua ni kwa namna gani tunaweza kupunguza au kuondoa kabisa matatizo hayo ili tuzidi kufurahi kuwa watanzania.
 
Shiriki kwenye mapinduzi,waondoe viongozi wabaya.Hapo utakuwa huru na mwenye furaha.Ama unataka kuhama na familia yote uliyoitaja?Huwezi kufanya hivyo kama huna pesa na wewe si mkimbizi.Hakuna vita kwenye nchi yako,si mna amani?vumilia tu,otherwise chukua hatua.

The other solution ni kujinyonga,which sikushauri kabisa ufanye hivyo kwasababu utakuwa umeischa familia pabaya zaidi na kama wewe ni mtu mwenye imani,basi utaulizwa mbele ya haki.

Na kuhama nchi pia vile vile inahitaji mipango kama ni kweli unategemewa na familia,sio kama ishu ya kupanda dalala na kwenye Morocco Kinondoni.Kuna ishu za visa,pesa za kushughulika na paperworks etc.

Kama uko serious,then angalia kama una ndugu,jamaaa ama rafiki atakayeweza kukuvuta.Otherwise ondoa viongozi magoigoi.

Food for thought.
 
Hamia nyumbani kwa Rz 1 kuna kila kitu ,kama unavyojua yeye ndo anaimiliki tanzagiza pamoja na babake
 
elimisha watu waache kupokea fulana, skaf, kanga na pilau wakati wa uchaguzi, hao ndio waliotujazia wazomeaji bungeni,
 
  • Thanks
Reactions: HT
Walaumu wazazi wako walioridhia kuweka sisiem madarakani na kuleta mashaka yote yanayotusibu kwa miaka 50 sasa...BEBA BEGI NA CHAPA LAPA...SOMALIA NJIA NYEUPEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.........
 
Kwenu wana JF nimekutana na huyu m2 ktk huduma yangu. Anasema:- Mie ni kijana wa miaka 30, niko na akili timamu, na nimechoka kuwa mtanzania. Ninataka kuhama hii nchi niende hata somalia ila procedure sizijui. Nimechoka kila ki2 kinachoendelea ktk nchi hii, haki sio haki tena. Maisha yamekuwa magumu, nyumba ye2 gongo la mboto imebomolewa kwa mabomu, fidia ilikuwa buku jero, ile ya kule kijijini imepigwa ex eti bomoa, barabara inapanuliwa na hakuna fidia! Tukaishi wapi sasa? Mama na baba ni jobles, biashara ya mamalishe mtaji city wameufilisi,tutakwenda wapi? Nimeambiwa nikalime, nikalime wapi na nini? Nimemaliza chuo miaka 4 cjaajiriwa niende wapi wakati kuna ndugu 5 na wazazi wananiangalia mie, first born na msomi wa family? NISAIDIENI MAWAZO JAMANI!
Pole sana. Lakini huko utakakohamia ambako utakula bure ni nchi gani???
 
Hizi ni dalili za kufika mwisho uwezo wa kufiri. Umetupa optional moja tu ya kuhamia nchi nyingi, usije kuta unayo na ile ya kuhamia ahera. Inabidi uwekwe chini ya uaangalizi wa wataalamu wa saikolojia.
 
Kwenu wana JF nimekutana na huyu m2 ktk huduma yangu. Anasema:- Mie ni kijana wa miaka 30, niko na akili timamu, na nimechoka kuwa mtanzania. Ninataka kuhama hii nchi niende hata somalia ila procedure sizijui. Nimechoka kila ki2 kinachoendelea ktk nchi hii, haki sio haki tena. Maisha yamekuwa magumu, nyumba ye2 gongo la mboto imebomolewa kwa mabomu, fidia ilikuwa buku jero, ile ya kule kijijini imepigwa ex eti bomoa, barabara inapanuliwa na hakuna fidia! Tukaishi wapi sasa? Mama na baba ni jobles, biashara ya mamalishe mtaji city wameufilisi,tutakwenda wapi? Nimeambiwa nikalime, nikalime wapi na nini? Nimemaliza chuo miaka 4 cjaajiriwa niende wapi wakati kuna ndugu 5 na wazazi wananiangalia mie, first born na msomi wa family? NISAIDIENI MAWAZO JAMANI!
<br />
<br />
mbona ize sana..omba lift hadi tarakea au sirari au namanga, andaa buku jero ya rushwa pale boda. Ukishaingia kenya hakuna mambo ya kuulizana sana, jipenyeze hadi pande za kaskazin mwa kenya ,then ulizia Al-Shabab..utafika somalia bila shida yeyote..
 
Me cpend watu mnatoa comments bila kusoma post vizuri. AU MNASOMEA MASABURI ZENU? Aaaagh!
 
mkuu keshokutwa kikwete anaelekea marekani,mwambie huyo jamaa akasimame kwenye robot moja amzuie na bango na sisi tutakuwepo tupige picha baada ya hapo watampeleka jela,keshamaliza kazi yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom