my name is my name JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 2,016 Reaction score 2,402 Jun 6, 2015 #1 Nifuate taratbu gani ili nikubaliwe? Lazma uwe umefikisha miaka 18? Nifanyeje ili nikubaliwe. Msaada.
Nifuate taratbu gani ili nikubaliwe? Lazma uwe umefikisha miaka 18? Nifanyeje ili nikubaliwe. Msaada.
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,113 Reaction score 18,744 Jun 6, 2015 #2 subiria2016 mwaka huu hakuna, na kwa kipindi hichi wasubiria nashauri nenda kajifunze kuandika na kusoma. Goodluck!
subiria2016 mwaka huu hakuna, na kwa kipindi hichi wasubiria nashauri nenda kajifunze kuandika na kusoma. Goodluck!
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,333 Jun 6, 2015 #3 Nitumie ujumbe,Kama una vigezo nikufanyie mpango kwenye kampuni kubwa za u model,achana na kina lundenga wananukaa rushwa
Nitumie ujumbe,Kama una vigezo nikufanyie mpango kwenye kampuni kubwa za u model,achana na kina lundenga wananukaa rushwa
Kidege Member Joined Jul 18, 2009 Posts 87 Reaction score 7 Jun 6, 2015 #4 Weka picha yako tukuone kama una vigezo
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,235 Reaction score 103,335 Jun 6, 2015 #5 Ushampwa mwalimu wa kemia haki yake?
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,081 Reaction score 72,481 Jun 6, 2015 #6 Njoo kwangu
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,298 Jun 6, 2015 #7 Root said: Ushampwa mwalimu wa kemia haki yake? Click to expand... Yaan huyu ni sheda.. Mara ana mshep wa kufa mtu mara mwalim wa kemia mara umis...
Root said: Ushampwa mwalimu wa kemia haki yake? Click to expand... Yaan huyu ni sheda.. Mara ana mshep wa kufa mtu mara mwalim wa kemia mara umis...
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Jun 7, 2015 #8 Vigezo vya kuwa miss ni rahisi mno,iwapo tu majaji,Rundenga na mdhamini utakubali wasaule nguo zako
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,897 Jun 7, 2015 #9 Dinazarde said: Njoo kwangu Click to expand... Hee!! afate nini kwako???
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,897 Jun 7, 2015 #10 my name is my name said: Nifuate taratbu gani ili nikubaliwe? Lazma uwe umefikisha miaka 18? Nifanyeje ili nikubaliwe. Msaada. Click to expand... Sikutanii ila kwa post zako hizi kama hutanii, basi unaweza kuja kuwa mallaya mkubwa sana hapo baadae!!!
my name is my name said: Nifuate taratbu gani ili nikubaliwe? Lazma uwe umefikisha miaka 18? Nifanyeje ili nikubaliwe. Msaada. Click to expand... Sikutanii ila kwa post zako hizi kama hutanii, basi unaweza kuja kuwa mallaya mkubwa sana hapo baadae!!!
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,081 Reaction score 72,481 Jun 7, 2015 #11 kalagabaho said: Hee!! afate nini kwako??? Click to expand... nimpe umiss teh teh