malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,791
- 4,485
Mkuu tupo wote...mi eneo nishaandaa kabisa ila sijapata consultant...mi nilitaka nianze na ya Advanced tu Mbeya huko...plot ipo tena eneo zuri ila sijapata assurance bado uncertainties zinanitisha huku kichwani mpaka nipate comfort ya consultant au mzoefu wa hii biashara maana ni biashara kama katoto kachanga kama ilivyo biashara ya mediaWadau nipeni ushauri kwenye sector ya elimu,nataka kufungua secondary vip biashara katika sector ya elimu hasa secondary Ikoje,
taratibu zipi zakufuata kufungua secondary na vigezo Gani vyakuzingatia kudumu kwenye biashara na kupata watoto
Taratibu za kuzingatia:Wadau nipeni ushauri kwenye sector ya elimu,nataka kufungua secondary vip biashara katika sector ya elimu hasa secondary Ikoje,
taratibu zipi zakufuata kufungua secondary na vigezo Gani vyakuzingatia kudumu kwenye biashara na kupata watoto
Shule za akina junior nilipo zipo shule 5Anza Na Nursery na baadae primary. Wazazi wapo tayari kulipa Hata 50m kama Ada kwa ajili ya kina Junior
Kweli?Wengine wanafikilia kufunga shule kutokana na uchache wa wanafunzi wengine wanafikilia kufungua shule kweli dunia inazunguka
Duuh. Kumbe!Una plan kubwa kubwa, hongera....kituo cha mafuta ulifanikiwa kufungua?
Nakazia hapaAnza Na Nursery na baadae primary. Wazazi wapo tayari kulipa Hata 50m kama Ada kwa ajili ya kina Junior
Yes kituo nilifanikiwa vizur tu kiko mwishoni kukamilika nikiombee vibali kwa ajili yakuanza kuuza mafutaUna plan kubwa kubwa, hongera....kituo cha mafuta ulifanikiwa kufungua?
Sasa kwanini usistick hapo kwanza mkuu au we ni mtu wa mabiashara mengi 😁Yes kituo nilifanikiwa vizur tu kiko mwishoni kukamilika nikiombee vibali kwa ajili yakuanza kuuza mafuta
KwenyeNakazia hapa
Nursery na primary hapa nilipo zipo 5 tayar,nimeona nkiigia uko kwenye nursery na primary ntapata changamoto kupata watoto maana tayar Kuna shule 5Nakazia hapa