Nataka kufungua kampuni

mafiakisiwani

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
833
616
Habari zenu waungwana natumai muwazima na mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nataka kufungua kampuni ambayo nitakuwa nawatafuta wafanyabiashara wadogo wadogo na kuwa inject misingi yao ili na mimi niweze kujipatia rizki,sasa nilikuwa nataka kujua,je hii kampuni tunaweza kuifungua kama partnership ili baadae tuweze kuuza hisa na kuongeza msingi wa kampuni yetu? na naomba nifahamishwe yote yanayohitajika ili niache kukaa maskani bila mpango.
 
Mkuu hujafunguka vyakutosha hasa kwenye cha "kuinject mtaji" mean dat u got cash in hand then unataka uwainject mitaji wafanyabiashara au unataka uwamobilize na mitaji yao ili wafanye mladi wa pamoja?
Pia utata upo kwenye hitimisho lako kuwa "umechoka kukaa kijiweni" je, mtaji umepata vipi?
Funguka vizuri mkuu pengine tunaweza kitu cha maana zaidi.
 
nashukuru mkuu kwa majibu yako na pia ningependa kujibu maswali ambayo yanakutatiza.
nitawaenject wafanyabiashara wadogo wadogo kwa kuwa nina hela mkononi na kuhusu swala la mtaji ni kwamba kuna ndugu yangu yuko nje nilimtilia huruma ndio amenitumia fedha kidogo ili nami nijikwamue.
 
Ni vigezo gani utatumia kuwapa hizo hela meaning that kuna ulazima wa collateral(dhamana) au utawapa kwa masharti nafuu? Je, kuna ulazima wa hao wajasiriamali kujikusanya pamoja au hata individually? Vp kuhusu waliopo mbali na wana uhitaji wa kuwezeshwa utawasaidiaje?
 
nitawafuata wafanyabiashara mahala pao wanapofanyia biashara na kujua ni kwa muda gani anaifanya hiyo biashara yake/yao,je kama watakopeshwa kwa masharti nafuu wataweza kulipa deni na kwa muda gani.
ningependelea awe individually lakini kama kutakuwa na maslahi zaidi kama watajikusanya pamoja pia sio neno ilimradi kuwe na faida.
kuhusu waliopo mbali itabidi wasubiri mpaka hapo msingi utakapokuwa mkubwa ndio tutaangalia uwezekano wa kuwa nao pamoja.
 
Sasa mkuu mafiakisiwani mbona unaanza kutubagua sie wahitaji tuliopo mbali? binafsi ningependa kunufaika na huo mladi wako tatizo ni umbali nilipo japo haitaharibu neno kwa namna yoyote katika urejeshaji. Nipo tayali kuweka collateral kulingana na hela utakayonipa.
Ningeomba tuingie PM ili nikuelezee kwa uwazi zaidi na namna ya kukutana na wewe.
 
Last edited by a moderator:

kama uko mbali usumbufu nitakaoupata ni pamoja na kukufuatilia msingi wenyewe bado mdogo ila msingi ukikua nitakutafuta huko huko uliko,kuna baadhi ya watu wananiambia sijui kampuni itaitwa venture capital bila kunifafanulia,je,kuna kitu kama hiki?
 
Haina shida mkuu, cheki na member mmoja anaitwa Singo atakupa ufafanuzi kuhusiana na ufunguaji wa kampuni na gharama za registration.
 
Last edited by a moderator:
nashukuru mkuu,ngoja nimtafute ili tuweze kulifanikisha hili.

nimekuja,waweza pitia profile yangu usome thread ya ufafanuzi wa usajili wa limited company yenye share capital ,naona hii itakufaa zaidi kuliko business name , utapokwama kuelewa niulize
 
hakuna neno mkuu ngoja nilipitie file lako.
 
Back
Top Bottom