Boniface Evarist
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 1,147
- 512
Wana JF, salamu zenu. Mie ni kijana nasoma chuo mwaka wa 3 sasa nategemea kumaliza 2013.
Nimedhamiria kufungua kampuni mapema kabla ya mwezi wa 6 mwakani. Ninakamilisha uandish wa Memorandum of the "Company_Name company Limited, nimeamua kushirikiana na rafiki. Naomba mnisaidie mambo yafuatayo:
1. Je, initial capital ikiwa 10Mn au 100Mn au 500Mn ina risk zipi? Najua ni hela ambayo tunajiandikia tu yaani iliyopo haizidi 1.5Mn so pls nisaidieni hapo ili niandike initial capital of the company nikijua 10Mn ina faida zipi na hasara zipi na 500Mn ina faida zipi na hasara zipi?
2. Sina elimu yoyote kuhusiana na shares za waanzilishi just nimeona mfano wa mtu fulani kaandika 500 shares na aliyeshiriki naye 500 kwenye hiyo memorandum yao. Wengne wameandika 400 kwa 400 na 200 wanasema watauza kwa atakayetaka hapo badae! So napata dukuduku hapa sielewi nifanyaje japo 2natakiwa kuwa na equal shares na jamaa. Pls nifungueni ktk hili kwa kunifundisha elimu ya shares.
3. Mie niko mkoani lakini nataka head office ya kampun iwe Dar na branch huku ninakosoma. Vipi kuna ugumu wa hili?
4. Najua kuna wataalamu wenye kampuni, wachumi, members from Brela n.k naomba mnisaidie niweze kuandaa memorandum safi na hatimaye kampuni linitoe ktk umaskini na tupunguze utegemezi wa kampuni za nje.
Inshort, the company is focused on general purpose yaani IT services, importation and exportation of IT Based goods, agriculture, and so many coz mie mwanzilishi wataalamu ni wasomi wetu.
NB: Naomba mnisaidie kwa hoja za kunisaidia na kunikosoa ili mradi niweze kutekeleza hili kwa ufanisi.
Karibu kwa ushauri na maelezo.