Nataka kufungua kampuni yangu hapa nchini, nisaidieni haya ili niyatekeleze kwa uelewa mkubwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kufungua kampuni yangu hapa nchini, nisaidieni haya ili niyatekeleze kwa uelewa mkubwa!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Boniface Evarist, Dec 18, 2011.

 1. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wana JF, salamu zenu. Mie ni kijana nasoma chuo mwaka wa 3 sasa nategemea kumaliza 2013.
  Nimedhamiria kufungua kampuni mapema kabla ya mwezi wa 6 mwakani. Ninakamilisha uandish wa Memorandum of the "Company_Name company Limited,
  nimeamua kushirikiana na rafiki. Naomba mnisaidie mambo yafuatayo:

  1. Je initial capital ikiwa 10Mn au 100Mn au 500Mn ina risk zipi? Najua ni hela ambayo tunajiandikia tu yaani iliyopo haizidi 1.5Mn so pls nisaidieni hapo ili niandike initial capital of the company nikijua 10Mn ina faida zipi na hasara zipi na 500Mn ina faida zipi na hasara zipi?

  2. Sina elimu yoyote kuhusiana na shares za waanzilishi just nimeona mfano wa mtu fulani kaandika 500 shares na aliyeshiriki naye 500 kwenye hiyo memorandum yao. Wengne wameandika 400 kwa 400 na 200 wanasema watauza kwa atakayetaka hapo badae! So napata dukuduku hapa sielewi nifanyaje japo 2natakiwa kuwa na equal shares na jamaa. Pls nifungueni ktk hili kwa kunifundisha elimu ya shares.

  3. Mie niko mkoani lakini nataka head office ya kampun iwe Dar na branch huku ninakosoma. Vipi kuna ugumu wa hili?


  4. Najua kuna wataalamu wenye kampuni, wachumi, members from Brela n.k naomba mnisaidie niweze kuandaa memorandum safi na hatimaye kampuni linitoe ktk umaskini na tupunguze utegemezi wa kampuni za nje.
  Inshort, the company is focused on general purpose yaani IT services, importation and exportation of IT Based goods, agriculture, and so many coz mie mwanzilishi wataalamu ni wasomi wetu.

  NB: naomba mnisaidie kwa hoja za kunisaidia na kunikosoa ili mradi niweze kutekeleza hili kwa ufanisi.
  Karibu kwa ushauri na maelezo!
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kweli wewe unahitaji ushauri wa kitaalam haswaa! Ngoja waje.
   
 3. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ni kweli nawasubiri mkuu!
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  MKUU HONGERA SANA KWA KUTAKA KUJIAJIRI, NA HAO NDO WATU MNAO TAKIWA MTOE AJIRA NCHI HII, NA SI KUTAFUTA KAZI.

  1.Mkuu kuhusu ku decrela Capital ambayo hamko nayo, kuna madhara yake tena mengi tu.
  - Kumbuka kampuni ni lazima ikaguriwe, yaani kila mwaka mnapeleka mahesbu yaliyo kaguliwa kule brela so hapo hizo capital mlizo zitangaza lazima zionekane
  - Kwenye kutaka mkopo Benki, hapo ndo inaweza kuwa kikwazo zaidi, kwani lazima Benki wapate maelezo ya hizo capital zenu
  - Hata kutafuta watu wakuingia nao ubia, make watataka mahesabu ya kampuni yali clear na si usanii.
  MNAWEZA KUTAMKA KILE MLICHO NACHO, KWA SABABU KILA MWAKA MTAKAPO KUWA MNAANDAA MAHESABU YA KAMPUNI YA YATOENYESHA MTAJI UMEONGEZEKA

  2. Kuhusu watu wakuingia nao Ubia, hapa ndo sehemu ambayo watu huwa wanafanya makosa makubwa sana, hapa ndo biashara nyingi huwa zinafia. KUTASELECT PARTNERS INAHITAJIKA UMAKINI WA HALI YA JUU MNO.
  - Inatakiwa wote muwe na malengo sawa, yanayo fanana
  - Wote muwe tiyali kutumia muda wenu mwingi na pesa zenu za mfukoni kuendesha kampuni mpka pale itakapo simama na kujiendesha kwa faida
  - Kuna mtu ukimwambia muazishe nae kampuni anakubali mara moja kwa sababu anajua kampuni ni pesa tu yaani ndo umasikini unamtupa mkono but hajui kwamba kuanzisha kampuni na kuindesha mpka isimame wima si mchezo kabisa, kuna milima ya kufa mtu na mabonde ya kufa mtu

  CHEKI NA HIZO POINT ZA KUTAFUTA PATINA[h=2]1. Find a Partner That Shares Your Values, Entrepreneurial Spirit, and Vision[/h]Of all the things to look for in a partner this is probably the most important. You will need to be able to communicate effectively with your partner to make decisions, set goals, and drive the business forward. If you partner with someone that is reluctant, combative, or unable to consider your viewpoint it will be harder to be successful.

  [h=2]2. Find a Partner That Can Bring Skills and Experience to The Business[/h]A good business partner should have skills that support and compliment your own. No single person is a master of all things business. If you have great interpersonal skills but poor business finance skills, consider a partner who understands business accounting. The more skills you and your partner bring to the business together the easier it will be to start, plan, grow, and run your business.
  [h=2]3. Look For a Partner Without A Lot of Personal Baggage[/h]If your partner has serious challenges in his/her personal life it may carry over into the business. It is nice to be willing to give someone a chance, but running a small business takes focus, time, and tremendous energy. If your partner is dealing with one personal crisis after another you may find yourself carrying the weight of the business.
  [h=2]4. Find a Partner That Can Offer Resources and Credibility to Your Business[/h]It is great to have a business partner that has financial resources, but there are other contributions a partner can bring to the business that can be just as valuable. A partner with a strong business network, industry connections, client list, or certain credentials and expertise can also increase the value of your business and improve your chances for achieving long-term success.
  [h=2]5. Choose a Partner That Practices Good Personal and Business Ethics[/h]Only enter into partnerships with someone you can trust. Look for someone who values honesty and practices good personal and business ethics. A poorly chosen business partner may end up stealing from the company, taking your ideas or clients to start their own business, or breaking laws that could get your business into legal trouble.
  [h=2]6. Choose a Partner That is Financially Stable[/h]Whether or not your partner contributes financially to the business is less important than if your potential partner is in dire financial straits. Someone in the middle of a financial crisis may not be the best choice to go into business with for a variety of reasons. Money, asset, and time management skills are critical for small business entrepreneurs and someone who has grossly mismanaged their personal or business finances may not have the skills or discipline to make a business partnership work. Worst case scenario, they may even look for ways to steal from your business to solve personal financial problems.
  [h=2]7. Respect: A Necessary Element to Forming a Successful Partnership[/h]You should never partner with someone that you do not respect. The main purpose in forming a partnership is to achieve success as a team. You may not value the opinion and efforts of someone you do not respect at least on a professional level. You also want to partner with someone that will show you respect as a partner, business professional, and as the founder of your business.


  3. KUHUSU SHARE, HAKIKISHA MUANZILISHI WA WAZO LA BIASHARA UNAKUWA NA SHARE NYING KULIKO WENGINE ILI KULINDA WAZO LAKO LA BIASHARA, YAANI UNAKUWA CONTROLA WA KAMPUNI, KIVIP?

  - KAMA SHARE ZIKO 1000 NA MKO WATU 5KATIKA SHARE
  Hakikisha unabakia na share 502 na hizo 448 ndo wagawane hao wengine
  - MKIGAWANA SHARE SAWA SAWA NA KWENYE ARTICAL OF ASOCIATION INASEMA MWENYE SHARE NYINGI NDO ATAKUWA NA MAAMUZI YA MWISHO KWENYE MASWALA YA KAMPUNI ITAKULA KWAKO KWA SABABU MKIWA NA SHARE SAWA, SIKU MOJA WALE WENGINE WA NNE WANAWEZA AMUA KUUNGANISHA SHARE ZAO NA WAKATAWALA KAMPUNI NA WEWE UKABAKIA BILA USEMI KWENYE KAMPUNI.

  SO KWENYE ISHU YA % ZA SHARE ILI KULINDA WAZO LAKO HAKIKISHA UNAKUWA NA 51% YA SHARE ZOTE. HAPO HATA WALE WENGINE WAKIUNGANISHA ZAKWAO BADO HAWATAKUWA NA SAUTI KATIKA KAMPUNI.

  - HII NI ENDAPO KUTATOKEA UGONVI NA MASILAHI BINAFISI NDANI YA KAMPUNI
   
 5. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Asante sana KOMANDOO.
  Nimekuelewa sana, nashukuru sana. So unanishauri bora niweke hata 1.5 Milion iliyopo kuliko kuweka 5 or 10 Million ambayo haipo. Nahc kama unauelewa mkubwa wa maswala haya unaweza kuweka minimum amount ambayo natakiwa nitafute ili ku start up bila matatizo ya hesabu za mwaka na benki?

  Kuhusu partiner nimependa sana explanations za good partner. I hope kwa maelezo hayo limebaki mikononi mwangu kulitekeleza!

  Sharez nimekuelewa sana mkuu. Ntajitahdi kuzingatia ushauri ili domination isije ikanikuta ama akamkuta atakayekuja after me.

  What about situating the company's headquarters in Dar and branching to another region is it easy? Simply because I am pursuing my studies out of Dsm and I have plans to reside in Dar.

  Usinichoke naamini nami siku moja ntakuwa msaada kwa wengine.
   
 6. DullyM

  DullyM Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hongera sana Mkuuu kwa wazo lako!!
  Let me tell you one thing!!! Its hard to start up But not imposible!! Keep that in mind and make sure you know exactly what you want to provide to the public!! how, when and who?? Watu wengi huzungumzia mikopo ya hali ya juu kuanza biashara , 50m , 100m and so on!! kama unatumia elimu yako huo ni mtaji wako!! off-course expenses can not be avoided when you establish your business but sort them out, kuna expenses zingine utakuwa nazo kwa sababu thats how people do but do you really need to have them?? You and your partner are to make a Business strategy, market analysis before jumping into it!! with the idea that you have!! i suggest go for a Niche. You can have a little peace of the existing market and do great!! Or you can do like everybody else do! the choice and decisions are made by owners!!
  You do need proffessional help but see what you can do for yourself then seek help for the rest!! and remember kuwa mjasirimali needs high confidence. at-least if you wanna be a serious one!!
  Good Luck and congratulations for being a Great thinker!
   
 7. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hello DULLYM, u said "Its hard to start up But not imposible!!" Kept this in mind

  "mjasirimali needs high confidence. at-least if you wanna be a serious one"

  as long as I was born a human being I must stand up until I get were other reached.
  Frankly, I believe I knw exactly what to do with the business. Nataman sana mtu aniambie an example of a company iliyoanza na below 5 Milion na leo liko on top hapa nchini au duniani. Huwa naamini nikisubir kupata 50 Milion ki ukweli my Idea will cease. Nakushukuru sana kwa encouragement yako on this.
  Kuhusu market I knw si tatizo on my plans bt challengeful..! Tnx alot
  Umenisaidia kwa comment yako hujapoteza muda kaka.
   
 8. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Hilo la Branch halina shida sana,
  - Brela wanacho taka ni makao makuu ya Kampuni so kama ni Dara kwenye form utaandika Dar hilo la Branchi wala haliwahusu Brela kabisa.
  - Na kawaida ukitaka kubadili makao makuu ya kampuni my be kutoka Dar kwenda mathalani Mwanza ni lazima uwataalifu Brela.

  - OK WEWE FANYIA KAZI HIVYO VITU
   
 9. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Asante sana and God bless you!
   
 10. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  weka hiyo 500 milioni hata kama una elfu moja. hiyo ni amount ambayo kampuni inatarajiwa kufikiwa katika maisha yake. hivyo unaporejesta inabidi ioneshwe kwenye memorandum.

  sheria- kila kampuni ni lazma inapoanzishwa itaje mtaji na amount of share na thamani yake mf. share 1000@10,000= 10,000,000

  lakini, nashauri mngeanzisha kampuni as UNREGISTERED COMPANY.......... baadae mkaiandikisha baada ya kusimama
   
 11. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mkuu kama umesoma ushauri wa COMMANDO tukiweka 500 Mn na wakat ipo elfu moja tunawezaje kukwepa ukaguz wa brela every year au unaweza kunipa exactly statement ambayo itanisaidia ktk hiyo 500 Mn?

  Je UNREGISTERED COMPANY Inaweza kuingia ktk kushindania zabuni (tender) za watu, taasisi za binafsi na za serikali?
   
 12. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  - Mkuu unauhakika na unacho sema?
  - Capital inayo kuwa ina be decread na muanzisha kampuni ni kapital ambayo kampuni inatarajia kufikia?
  - Hili swala la capital huwa si lakufanyia mzaha lina madhara makubwa sana, Kwa upande wakuhitaji mkopo benk, kutafuta partners na hata kwenye kodi TRA.
  Hiyo kampuni UNREGSTERD ndo kampuni ya aina gani hiyo mkuu?
   
 13. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Naomba sample ya memorandum na articles of Association ya consulting firm (business, accounting or auditing) nianze kuzijua maana napenda kufungua hizo consultancy
   
 14. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kaka kuna wataalam wanaandika ni wanasheria za uchumi na biashara watakusaidia wakipita hapa.
   
 15. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #15
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kama mtaji si mkubwa bora kuanza na miradi midogo midogo kadhaa ambayo itasaidia kuimarisha kampuni yako. Vinginevyo ukijizatiti kwa kuanzisha kampuni unaweza kupoteza capital yako na ukajutia kuanzisha. Makampuni mengi yenye mafanikio yameanzishwa kuwa kutegemezwa na miradi midogo ambayo inasaidia kuimarisha mradi mkubwa katika kipindi cha uanzishwaji. Bora anza kupanda mlima Meru kupata uzofu kuliko kukimbilia kupanda mlima Kilimanjaro wakati huna uzoefu na mandhari ya hali ya hewa ya anga za juu.
   
 16. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #16
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135


  nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu. Tatizo la mtaji halitasumbua sana na kama litasumbua ntakabiliana nalo. Idea ni kufungua kampuni na haya niliyouliza ndo tatizo kwangu kikubwa nataka elimu ya faidi za initial capital ndogo na kubwa au shares na uzoefu wowote ambao watu wangependa nijue b4 sijaanza kutekeleza hili. Umejaribu kunitoa nje ya topic naomba unishauri kwa haya niliyoomba ushauri
  Karibu tena mkuu
   
 17. Dar_Millionaire

  Dar_Millionaire JF-Expert Member

  #17
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Dogo nakushauri kwa uzoefu. Kama ndo unaanza biashara achana na mambo ya Limited Company. Fungua Sole Proprietorship au Partnership. Then biashara ikikubali na ukaanza kuajiri watu kwa kuwalipa mshahara kila mwezi ndo uigeuze hiyo entity kuwa Co. Ltd.
   
 18. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #18
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mkuu umesema kwa uzoefu. Uzoefu wako unaonesha nini madhara ya kuanza na Ltd? Na zipi ni faida za sole proprietorship?
  naamba maelezo plz!
   
 19. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #19
  Dec 20, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  asikudanganye mtu hakuna unregisted company,kwa sababu biashara yote ni lazima upate leseni na ili upate leseni ni lazima uwe mlipa kodi yaani uwe na TIN na ili upate TIN ni lazima uwe na registration iwe limited au vinginevyo.nakushauri fanya ifuatavyo-
  1.nenda kwa wataalamu wakuandalie memorandam au ni PM unitumie emil yako ntakusaidia soft copy ya kwangu wewe uta edit tu.
  2.ukisha sajiliwa brela utaenda TRA kwaajili ya TIN baaba ya hapo utaenda halimashauli ya makao makuu ya kampuni yako watakupa lesseni ya biashara.
  Kumbuka unapokwenda kuchukua TIN waambie ntafungu branchi sehemu fran kisha watakupa branch copy(mfano.makao makuu ya kampuni ni dsm na branch dom,watakupa TIN ya kampuni na watakupa nyingine imeandikwa DODOMA branch copy,lakini namba ilele moja)
  pia kuhusu leseni,kumbuka kampuni itafanya aina mabalimbali za biashara hivyo kila bishara inakua na leseni yake kama ni stationary inakua na sleseni yake,kama ni hardwere inakua na leseni yake
  ntarudi tena
   
 20. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #20
  Dec 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nashukuru sana mkubwa nimeipenda sana advice yako. Upo very clear. Kuhusu memorandum nime ku PM. Asante sana kwa mwanga huu umenipa go ahead nzuri. Kiukweli nataka kuendesha mambo hata kwa kuumia lakin naamin ntapita, coz unregistered au sole proprietor kuna vitu ntajibana sana hasa kwenye mabenki hapo bdae
  Mkuu thanks alot na usinichoke ntakuwa nauliza anything I get it tough mbeleni
   
Loading...