Nataka kufungua kampuni yangu hapa nchini, nisaidieni haya ili niyatekeleze kwa uelewa mkubwa!

PAXMAN habari yako...
sisi tutakusaidia kitu kimoja ...
sisi kama Ibang Net tutakusaidia kukutengenezea website yako kuifanyia design na kukufanyia SEO marketing na hii itasaidia kuvutia investors kutoka sehemu mbali mbali duniani ....
ni PM kwa maelezo zaidi
 
thanx alot mkuu. Nakuja kwa PM
 
asikudanganye mtu hakuna unregisted company,kwa sababu biashara yote ni lazima upate leseni na ili upate leseni ni lazima uwe mlipa kodi yaani uwe na TIN na ili upate TIN ni lazima uwe na registration iwe limited au vinginevyo.nakushauri fanya ifuatavyo-
1.nenda kwa wataalamu wakuandalie memorandam au ni PM unitumie emil yako ntakusaidia soft copy ya kwangu wewe uta edit tu.
2.ukisha sajiliwa brela utaenda TRA kwaajili ya TIN baaba ya hapo utaenda halimashauli ya makao makuu ya kampuni yako watakupa lesseni ya biashara.
Kumbuka unapokwenda kuchukua TIN waambie ntafungu branchi sehemu fran kisha watakupa branch copy(mfano.makao makuu ya kampuni ni dsm na branch dom,watakupa TIN ya kampuni na watakupa nyingine imeandikwa DODOMA branch copy,lakini namba ilele moja)
pia kuhusu leseni,kumbuka kampuni itafanya aina mabalimbali za biashara hivyo kila bishara inakua na leseni yake kama ni stationary inakua na sleseni yake,kama ni hardwere inakua na leseni yake
ntarudi tena

Well explained. :poa
 
pia juaa kwamba ukiweka mtaji mkubwa na ndivyo utakavyolipa kodi kubwa

Mkuu, nimeelewa vizuri asante sana. Nimepata fomu ya brela na nimeona ada za usajili zinavyoenda. Ila sipajapata ufafanuz let say kampuni ina mtaji 10Mn kodi za TRA inakuwa ngapi?
 
safi,sana je kampuni inataka uwe na mtaji wachini kabisa shilingi ngapi . Nakama una duka la kawaida la vyakula na matumizi mengine ya kawaida na umesajili kila kitu na unataka kuibadilisha kampuni je inakubalika hapo wataalam?
 
hapa ndo napataka sana au ndo wana chukua ile 18% mpaka 25% ya hiyo milioni kumi. Tufafanulieni hapo
 
safi,sana je kampuni inataka uwe na mtaji wachini kabisa shilingi ngapi . Nakama una duka la kawaida la vyakula na matumizi mengine ya kawaida na umesajili kila kitu na unataka kuibadilisha kampuni je inakubalika hapo wataalam?

Inakubalika kwan ni sawa na kubadili sole proprietor to company
 
Mkuu, nimeelewa vizuri asante sana. Nimepata fomu ya brela na nimeona ada za usajili zinavyoenda. Ila sipajapata ufafanuz let say kampuni ina mtaji 10Mn kodi za TRA inakuwa ngapi?

Ongera mkuu,mi mwenyewe napenda uniambie hizo ada za usajir brela zikoje,coz mi ninakampun yangu ila cjasajil,nipe ufunuo nami
 
asikudanganye mtu hakuna unregisted company,kwa sababu biashara yote ni lazima upate leseni na ili upate leseni ni lazima uwe mlipa kodi yaani uwe na TIN na ili upate TIN ni lazima uwe na registration iwe limited au vinginevyo.nakushauri fanya ifuatavyo-
1.nenda kwa wataalamu wakuandalie memorandam au ni PM unitumie emil yako ntakusaidia soft copy ya kwangu wewe uta edit tu.
2.ukisha sajiliwa brela utaenda TRA kwaajili ya TIN baaba ya hapo utaenda halimashauli ya makao makuu ya kampuni yako watakupa lesseni ya biashara.
Kumbuka unapokwenda kuchukua TIN waambie ntafungu branchi sehemu fran kisha watakupa branch copy(mfano.makao makuu ya kampuni ni dsm na branch dom,watakupa TIN ya kampuni na watakupa nyingine imeandikwa DODOMA branch copy,lakini namba ilele moja)
pia kuhusu leseni,kumbuka kampuni itafanya aina mabalimbali za biashara hivyo kila bishara inakua na leseni yake kama ni stationary inakua na sleseni yake,kama ni hardwere inakua na leseni yake
ntarudi tena

mkuu! hata mimi ninahitaji sana hiyo soft copy ya memorandam yako, tafadhari tumwagie tu hapa kiongozi wetu!
 
Wana JF, salamu zenu. Mie ni kijana nasoma chuo mwaka wa 3 sasa nategemea kumaliza 2013.
Nimedhamiria kufungua kampuni mapema kabla ya mwezi wa 6 mwakani. Ninakamilisha uandish wa Memorandum of the "Company_Name company Limited,
nimeamua kushirikiana na rafiki. Naomba mnisaidie mambo yafuatayo:

1. Je initial capital ikiwa 10Mn au 100Mn au 500Mn ina risk zipi? Najua ni hela ambayo tunajiandikia tu yaani iliyopo haizidi 1.5Mn so pls nisaidieni hapo ili niandike initial capital of the company nikijua 10Mn ina faida zipi na hasara zipi na 500Mn ina faida zipi na hasara zipi?

2. Sina elimu yoyote kuhusiana na shares za waanzilishi just nimeona mfano wa mtu fulani kaandika 500 shares na aliyeshiriki naye 500 kwenye hiyo memorandum yao. Wengne wameandika 400 kwa 400 na 200 wanasema watauza kwa atakayetaka hapo badae! So napata dukuduku hapa sielewi nifanyaje japo 2natakiwa kuwa na equal shares na jamaa. Pls nifungueni ktk hili kwa kunifundisha elimu ya shares.

3. Mie niko mkoani lakini nataka head office ya kampun iwe Dar na branch huku ninakosoma. Vipi kuna ugumu wa hili?

4. Najua kuna wataalamu wenye kampuni, wachumi, members from Brela n.k naomba mnisaidie niweze kuandaa memorandum safi na hatimaye kampuni linitoe ktk umaskini na tupunguze utegemezi wa kampuni za nje.
Inshort, the company is focused on general purpose yaani IT services, importation and exportation of IT Based goods, agriculture, and so many coz mie mwanzilishi wataalamu ni wasomi wetu.

NB: naomba mnisaidie kwa hoja za kunisaidia na kunikosoa ili mradi niweze kutekeleza hili kwa ufanisi.
Karibu kwa ushauri na maelezo!
paxman na wote mliochangia ah
santeni sana...! ngoja nichungulie brela kuna nini zaidi.
 
kila la kheri urudi utupe feedback humu , sidhani kama tra wanapiga 25% ya mtaji ndo ulipe , tatizo letu kubwa hatuna mahesabu ya makampuni ya kueleweka , na hata ukiwa nayo tra wafanyakazi nao magumashi kwenda mbele , unatakiwa ulipe kodi kutoka kwenye faida kampuni iliyopata , so lets say ,

mauzo ya mwaka 10m
matumizi -6m
faida-4m

kodi inapigwa kwenye hiyo 4m , so kama ni 20% times hiyo 4 m ,

wataaalamu wa kodi watusaiidie ,
 
Nitatoa feedback.
 
Back
Top Bottom