Mimi nafunga ndoa mwezi huu isee, nilikuwa nataka kufanya hii style nimemwambia wife Mimi nataka ndoa tu kanisani then tusepe zetu, ila yeye anataka sherehe nimemwambia sherehe atafanya yeye huko ukumbini Mimi kipindi hiko Niko geto, akimaliza sherehe anitafute, sipendagi usumbufu isee
Haina madhara kabisa, tena zinadumu kuliko za sherehe kwenye boat na kumbi mbalimbali.
Ila ya kwangu lazima niwachezeshe kwaito kama navozicheza mimi now
Atakuwa bidada huyoo...mwanamke ndoa bila harusi anaona ni matusi makubwa kwake!
Watu tumetofautiana asee....nilivyo na uchungu na hela, halafu kirahisi rahisi ikalipiwe ukumbi, sijui Gari la kutubeba, kunywesha watu bia! Mume wangu hajafanya huo upuuzi nikamvumilia!