Nataka kufunga Kamera kwenye Saluni..ni Bei gani!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,951
Mojawapo ya changamoto kubwa kwenye Biashara ya Saluni ya kiume ni kujua mapato halisi yanayoingia.
Vijana wengi wanaofanya kazi Saluni sio wa kweli... .Anaweza kukwambia anapata20,000/=kwa siku kumbe anaingiza 40,000/=. Nimetafakari hvi nifunge Camera ,ambayo itaonesha wateja waliongia (kupata huduma) Naomba ushauri na Bei ya hizo Kamera nione kama inalipa!
 
Mkuu kwa nn usimpangie kiasi cha kukulipa kila siku kuliko kumbana kiasi hcho.
 
kuna Uzi ulianzishwa ukitafuta soko/wateja wa hiyo Huduma ya kufungiwa hizo camera..

utafute
 
Biashara za hivo ni kama taxi zinaenda kwa hesabu ya siku yaani wewe unapanga kiasi gani ulipwe kwa siku/wiki kutokana na eneo husika. Hivyo kuna siku msimamizi atapata sana na kuna siku atakosa ila wote mnapata. Ukitaka kuzuia pesa yote ya siku weka mtu maana hata camera itakusumbua tu....sijui wazoefu....
 
Mojawapo ya changamoto kubwa kwenye Biashara ya Saluni ya kiume ni kujua mapato halisi yanayoingia.
Vijana wengi wanaofanya kazi Saluni sio wa kweli... .Anaweza kukwambia anapata20,000/=kwa siku kumbe anaingiza 40,000/=. Nimetafakari hvi nifunge Camera ,ambayo itaonesha wateja waliongia (kupata huduma) Naomba ushauri na Bei ya hizo Kamera nione kama inalipa!
Unataka kufunga camera ngapi
Kama ni kuanzia nne kanunue full nadhani kwenye laki sita na nusu kisha nicheki nije nikufungie
 
650,000 /= camera halafu installation fee umcharge 100,000/= jumla 750,000/= kwa kumonitor 40,000/= ya kunyoa viduku. Hii ni akili kweli?
 
Mkuu hapa singida mjini kuna saluni ya kiume inakusanya zaidi ya 300,000 siku za week... vipi ikiqa weekends???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye camera utakuwa unaangalia mauzo au? Ushauri wangu afungue ki-mpesa/tigo pesa au aweke viatu/nguo za kiume/pafyumu kuwe kuna mtu anauza pia awe ndo overall cashier humo humo saloon. Camera si kwa vinyoz wa saloon utakufa na presha
 
Mojawapo ya changamoto kubwa kwenye Biashara ya Saluni ya kiume ni kujua mapato halisi yanayoingia.
Vijana wengi wanaofanya kazi Saluni sio wa kweli... .Anaweza kukwambia anapata20,000/=kwa siku kumbe anaingiza 40,000/=. Nimetafakari hvi nifunge Camera ,ambayo itaonesha wateja waliongia (kupata huduma) Naomba ushauri na Bei ya hizo Kamera nione kama inalipa!
nenda kwa mganga mkuu
 
Moja ya Huduma ya uhakika tunayo toa ni Ufungaji wa Camera sehemu tofauti kulingana na mahitaji ya eneo Husika.

Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi +255 746 49 46 37
 
Kwa jinsi vinyozi walivyo mafuska, si ajabu kamera ikakuua kwa presha siku utakapomuona mkeo anabusiwa kwenye kitegauchumi chako mwenyewe 😀😀😀
 
Hivi ni kweli hata kama upo kwenye eneo zuri unaweza kuingiza Tshs 40,000 kwa siku kupitia saluni ya kiume??
 
650,000 /= camera halafu installation fee umcharge 100,000/= jumla 750,000/= kwa kumonitor 40,000/= ya kunyoa viduku. Hii ni akili kweli?
Camera 4 akipata kwa bei hyo aje nimweke awe anawafungia wateja wangu nikiwapata maana kwa bei hyo Camera, dvr, screen,HDD, Cables,Router, power supply, accessories ndogo ndogo + ufundi? Just be serious. Mimi nafunga kwa 1,160,000(kila kitu kwangu). Kama unataka kwa ajili ya shoo na kufanya saloon yako ionekane ya kisasa funga ila kama ni kwa ajili ya monitoring hyo cost ni kubwa labda sijajua type ya saloon yako na area ilipo.
 
Mojawapo ya changamoto kubwa kwenye Biashara ya Saluni ya kiume ni kujua mapato halisi yanayoingia.
Vijana wengi wanaofanya kazi Saluni sio wa kweli... .Anaweza kukwambia anapata20,000/=kwa siku kumbe anaingiza 40,000/=. Nimetafakari hvi nifunge Camera ,ambayo itaonesha wateja waliongia (kupata huduma) Naomba ushauri na Bei ya hizo Kamera nione kama inalipa!
Mi nimefanya hivi.
Nimeweka viti 2, mashine 3 na vinyozi 2. Kila mtu anahesabu yake ya kuwasilisha kila siku kadiri ya makubaliano yetu.
Makorombwezo mengine kmv. Super black,magic na crub ni yakwao mi siingilii.
Umeme juu yao pia

Mimi yangu ni kodi na vifaa katika ubora tuliokubaliana.

Alhamdulilah, napata si haba.

Haya makamera nimewahi kufunga ila walipogundua nawachora wakaanza kuondoka na wakija hawakai.
 
Saloon bora ya kiume kwa maeneo ya mjini mtaji shingap mkuu
 
Saloon tafuta demu mwenye wezere la maana muweke hapo kwa massage na extra
 
Back
Top Bottom