Nataka kufuga naomba ushauri

Sir Khan

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
5,133
2,000
wakuu nataka kufuga ndevu nimeshajenga banda je niongezee nini kingine?
 

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
7,557
2,000
ongeza sharubu zikikua kua kidogo ongeza na mustache kereng'ende wewe
 

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
25,083
2,000
Lila siku nasema hili! MUWE MNAICHAMBUA, HAKIKISHA MBEGU ZOTE ZIMEISHA KUONDOLEWA NDIO ITAFAA KWA MATIZI YA BINADAMU!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom