Nataka kufanya hii Biashara ina Maslahi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kufanya hii Biashara ina Maslahi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by DATOGA, Feb 15, 2012.

 1. D

  DATOGA Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ndg wana jamvi habari zenu,

  Natamani sana kufanya hii biashara ya Uwakala (agent) wa M-pesa, tigo pesa, Airtel money, ikibidi nianze any time sema sina uhakika ufuatao hapo chini, NAOMBA MWENYE UFAHAMU ANIJUZE KWA UFASAHA.

  1. Je INALIPA?
  2. Je nitajuaje napata faida nayo
  3. Nitapataje TIN no na LESENI ya Biashara?
  4. Je Uajenti wa LUKU, Dstv, Maji, etc nitapataje?

  Please ndg zangu mwenye uelewa anisaidie jamani, thanks
   
 2. u

  ureni JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,273
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  M-Pesa ukipata mahali penye wateja wengi inalipa sana.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Hakuna biashara isiyolipa duniani !!! Kila biashara inalipa endapo kuna wateja right??
   
 4. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  TIN hutolewa BUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE na TRA ogopa tapeli,mkuu!
   
 5. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,404
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Shuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Inalipa ndio.
   
 7. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Kazi nikwako!
   
 8. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  Sio mnampa moyo tuuu kirahisi inalipaaaa.....inalipa vipi?..asilimia ngapi ya mauzo inakuwa kamisheni yake?...wekeni data hapa watu tuelimike...hayo mlotoa ni majibu rahisi kwa swali gumu linalohitaji details za kina
   
Loading...