Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,921
- 3,947
Kwema wana jamvi? Kama kichwa cha mada kinavojieleza naomba ushauri wa buashara kwa mtaji wa Mil 10.
Kuna biashara nilikua nafanya,nilikua napata faida nzuti na mtaji kukua sana ila baadae ikawa inakata tu hela.
Nimejitahidi sana kukaza naona pesa inazidi kukata kwahyo nimeamua kuacha kabisa nifikirie biashara mpya nahisi hiyo biashara imeamua kunikataa tu.
Je, ni biashara gani nzuri naweza kufanya kwa mtaji wa 10MIL ?ila tu isiwe biashara ya bodaboda, biashara ya miamala (uwakala), au kununua chombo cha moto kufanyia biashara.
Wale watu wa masihara, kejeli na wengineo wa aina hiyo tafadhali unaweza kupotezea bila kuchangia chochote ili tusiharibiane siku
Ushauri wako ni muhimu