Nataka KUANZISHA MAGAZINE

Nataka KUANZISHA MAGAZINE

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Habari zenu jamani..... Nina idea ya kuanzisha magazine ambayo itakuwa ikigawiwa bure kwa watu (free copy) hivyo nategemea kuingiza fedha kupitia matangazo yatakayo kuwa yanawekwa kwenye gazeti na pia natafuta mdhamini. Ninachotaka kufahamu ni kwamba gharama za kusajili magazine ni kiasi gani na utaratibu upoje? Pia ku-design magazine mpaka printing ni gharama kiasi gani?
Naheshimu sana mawazo yenu jamani.....
 
Mkuu ni wazo zuri nakumbuka kuna kipindi nilitaka kuanzisha hii kitu ya Aina hii, Nilikatishwa tamaa vibaya mno, ila ilikuwa ni Long time kidogo, so Unaweza ni PM nikupatie Baadhi ya Aidea zangu ili uzitumie make sina mpango tena na hiyo kitu, Ingawa ukijapaga freshi litaweza kukusaidia sana kwa baadae,

Nilikuwa na Aidea nzuri sanakwenye Distributin yake
 
Unaweza ki share na mimi mkuu?
 
Inaweza kuwa hivyo ila kwa sababu ilikuwa ni Long time kidogo, kwa sasa sijui bei za kuchapa so mtu asiniulize bei za kuchapa make zitakuwa zimebadilikamno, make kwanza makampun ni Mengi sana, Ila mimi nitajikita kwenye Kuanza hilo gaeti , Distributions,na baadhi ya strategies, ambavyo ndo vitafanya gazeti lako lipate Wateja wa kutangaza, kwa sasa mengi naonaga wanapeleka Supermarket na kwenye majumba ambayo ni VIP, wanasahau kwamba hao VIP hawana time ya kusoma hayo magazeti,

Ngoja kwanza nifukue nilipo Tunza and then nita PM atakaye taka baadhi ya hint, zake
 
Back
Top Bottom