KakaJambazi Ushindwe na ulegee Latifa umechagua jambo jema.Karibu hapa Kinondoni TAG REVIVAL church karibu na biafra kuna kanisa lenye kumtukuza na kumwinua Bwana Ibada kila jumapili 1.00-4.00 asubuhi na 4.00-7.00 mchana wengi wamemwona Bwana katika maisha yao.
nia yangu siokujadili dini niliotoka bana wala kulumbania dini. Ni msaada wakuonyeshwa kanisa la kiroho baasiUlikua muisilaam jina au unaufahamu uisilamu kabla ya kufanya maamuzi haya
Nasema hivi. Kuna wapagani wengi wenye majina kama yako.
Nimeamua kuwa mkristo natafuta kanisa lakiroho nianzekwenda maeneo ya mabibo hosteli. Sio kanisa la mazingaumbwe noo kanisa la kuijenga roho yangu na uhusiano mzuri na Mungu mwenyezi
Kama ungeweza kwenda hata kanisa lililo mbali na hapo mabibo hostel ningekuelekeza kwenye kanisa la roho na kweliNimeamua kuwa mkristo natafuta kanisa lakiroho nianzekwenda maeneo ya mabibo hosteli. Sio kanisa la mazingaumbwe noo kanisa la kuijenga roho yangu na uhusiano mzuri na Mungu mwenyezi
Latifa kama utanisikiliza hutajuta na hutakuja kunisahau maisha yako yote count on me niko tayari hata kukupa namba yangu ya cm am more than seriousJamani kwaanae jua anijuze niko more than serious pls
KakaJambazi Ushindwe na ulegee Latifa umechagua jambo jema.Karibu hapa Kinondoni TAG REVIVAL church karibu na biafra kuna kanisa lenye kumtukuza na kumwinua Bwana Ibada kila jumapili 1.00-4.00 asubuhi na 4.00-7.00 mchana wengi wamemwona Bwana katika maisha yao.
Kama kweli una nia toka rohoni mwako basi nakushauri uangalie hii youtube kuna mafundisho mengi mazuri naamini yatakufaa najua haitakufanya uwe too much excited lkn endelea kuisikiliza na utapata kitu. Mafundisho ya huyu ndugu ni mazuri http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=cwrpz6Cv70EJamani kwaanae jua anijuze niko more than serious pls
Mwanzo ulikua nani mkuu??? jee umesibiwa na majanga gani huko hata ukatamani kutoka??Nimeamua kuwa mkristo natafuta kanisa lakiroho nianzekwenda maeneo ya mabibo hosteli. Sio kanisa la mazingaumbwe noo kanisa la kuijenga roho yangu na uhusiano mzuri na Mungu mwenyezi
Ni kweli zipo imani nyingi na ni ngumu kuzitambua hebu jaribu kusikiliza youtube za huyo mkufunzi , sikiliza nyingi kadir uwezavyo . Baada ya hapo utachagua kanisa la kwenda na utakua umejua mengi hata watakapokosea wewe utabaki kwenye imani sahihi hakuna atakaekudanganya tena.siombi ruhusa wala nikwamba naomba kuelekezwa nisije nikakosea njia, makanisa yamekua mengi nayanapingana means imanizao nitofauti kuna ndiyo na siyo
0
Nimeamua kuwa mkristo natafuta kanisa lakiroho nianzekwenda maeneo ya mabibo hosteli. Sio kanisa la mazingaumbwe noo kanisa la kuijenga roho yangu na uhusiano mzuri na Mungu mwenyezi