Nataka Kuanza Kilimo Cha Soya

Midimay

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
2,907
4,770
Habari za leo Wana wa jukwaa la KUU.

Wakuu nimewahi kukaa katika customs mojawapo ya nchi hii inayotuunganisha na nchi jirani kwa upande wa kusini. Sio muda mrefu uliopita.

Kusema ukweli wazee, ni tani kwa tani za soya za lishe zinapita pale in transit kwenda Rwanda, Uganda na Kenya. Na chache zinainhia humu nchini(import).

Sasa nimeona ni fursa kwetu sisi ambao tumepakana moja kwa moja na hizo nchi zenye mahitaji ya soya.

Naomba ushauri wenu wakuu.
1: Ni wapi hapa Tanzania panapostawisha zao la Soya za lishe? Morogoro? Iringa? Singida? Dodoma? Manyara hasa Kiteto?

2: Hili soko litanendelea kuwepo au inawezekana ni demand ya muda mfupi?

3: Nini kinahitajika kuanza kilimo cha Soya, nikiassume nina ardhi ya ekari 50?

4: Aina za mbegu bora na asili yake kwa zao la Soya?

5; Will this project be viable?
 
Mkuu Soya zinalimwa Songea kuliko mkoa wowote na kilo ni sh.600 tena kwa magendo maana ushirika huwakopa.Kama unasoko la nje Lima ka ndani ni changamoto.Soya inakubali sehemu ntingi TZ. Haig in we Lima au anzisha kitalu cha majaribio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom