Nataka kuanza biashara ya dagaa nyama. Sasa kama kuna wajuzi naomba waje wanipe changamoto za hii biashara

Qurie

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
3,638
3,850
Waungwana habari zenuu..... Najua jambo likiletwa huku hakiharibiki kitu maana huku wapo watu wakila namna....
Niende moja kwa moja kwenye key point...
Nataka kuanza kuafanya biashara ya dagaa nyama sasa kama kuna wajuzi naomba waje wanipe changamaoto za hii biashara napenda kujua changamoto ili nijipange kisawasawa kuliko kujua faida zake tuu pekee.... Mahali wanapopatikana nshapajua ingawa sio sanaa nlikua nawaza na masoko yake nna tanguliza shukrani zangu za dhati
 
Ukitaka kufanya kitu unakusanya taarifa sehemu tofauti toafauti sio kuingia kichwa kichwa
Ok,.. Ila ujue changamoto ni nyingi na inahitaji moyo sana ingawa mimi sijawahi kuifanya. Mara nyingi naona kuna watu wanapeleka Congo ila fanya kitu kimoja.. Nenda mpaka wanapouza hautukosa mtu wa kukupa ukweli faida na hasara. Mangapwani ndo naona kazi hiyo inafanyika sana.
 
Asante kwa ushauri
 
Humu huwa hakiharibiki kitu,

Tuelekezane sehemu wanapopatikana kwa wingi, vipi bei yake iko vipi huko ulikopapata mkuu?
 
Luna maeneo tofauti tofauti nmepata na bei yake naona ipo vyema
 
Waungwana habari zenuu..... Najua jambo likiletwa huku hakiharibiki kitu maana huku wapo watu wakila namna....
Niende moja kwa moja kwenye key point...
Nataka kuanza kuafanya biashara ya dagaa nyama sasa kama kuna wajuzi naomba waje wanipe changamaoto za hii biashara napenda kujua changamoto ili nijipange kisawasawa kuliko kujua faida zake tuu pekee.... Mahali wanapopatikana nshapajua ingawa sio sanaa nlikua nawaza na masoko yake nna tanguliza shukrani zangu za dhati
dagaa wa nyama wapoje ndo kama wale wa kigoma au
 
Waweza kushare basi hapa ili tujue kama kunafikika, sifa ya jf ni uwazi na kusaidiana.
Mimi nipo tanga mkuu na nna rafiki yangu huwa anawanunua wabichi na kuwandaa so wanapatikana tanga
 
Back
Top Bottom