Nataka kuagiza VW Touareg V6

Nataka kuagiza VW Touareg V6

G.T.L

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
1,730
Reaction score
3,935
Wakuu, nataka kuagizia sasa gari ya ndoto yangu, gari inayokonga mtima wangu si ingine bali ni VolksWagen Touareg V6.
Hii gari kila nikiiona road naweweseka jinsi ilivyo body yake kubwa na muonekano wa kiume/kibabe.

Hii ni SUV yenye cockpit moja matata sana na ya kipekee.
Budget yangu ni M 35, sasa naomba kupata hints kwa mjuzi ambaye alishawahi kumiliki au kuwa close na mtu mwenye hili dungu.
Mad Max RRONDO Hamritzer
mac_motorstz-___3577981385885481767_11165981575___--3.jpg
mac_motorstz-___3577981385885481767_11165981575___--10.jpg
mac_motorstz-___3577981385885481767_11165981575___--1.jpg
 
Chukua VeWe T hiyo mzee. Hutajuta hiyo gari, watakuja watu wajatumia hiyo gari kukuzuzua hapa, nakwambia hawajatumia hiyo gari, alietumia hiyo gari, mwenye roho safi hatakushauri vinginevyo mkuu.

VeWe kuna magari walidesa ila sio Tuuer.
Natumia hii gari mwaka wa nne sasa, nilimvua mtu Rusumo Border pale. Sijutii hii gari kwa standard, durability, flexibility, comfortability (pure leather yoga seat), driving confidence, powerful v6 diesel engine, off-road capabilities (vumbi, tope, changarawe), performance and Speed. Torque ya kibabe and fuel efficiency, gari ya "mjeremani" hiyo inanusa diesel mzee.
Chimbo ya vipuri "genuine" ya hii gari ni kwa Kagame tuu hapo, ukiwa Rusumo, Nyakanazi au Benako wanakuletea mkononi toka Kisabo, Kigali.

Nyongeza: Rwanda wanazo LHD, vijana wa kinyarwanda wakipata hela wana option ya Porsche Cayenne na Tuuer.
 
VeWe kuna magari walidesa ila sio Tuuer.
Natumia hii gari mwaka wa nne sasa, nilimvua mtu Rusumo Border pale. Sijutii hii gari kwa standard, durability, flexibility, comfortability (pure leather yoga seat),
asante sanaa mkuu kwa ushuhuda vivid, mkuu unaweza kunipa contacts zako DM ili nikuchek tuzungumze machache maana ninahamu ya kuchukua hii chuma mwez ujao iwe imefika mkononi
 
Chukua VeWe T hiyo mzee. Hutajuta hiyo gari, watakuja watu wajatumia hiyo gari kukuzuzua hapa, nakwambia hawajatumia hiyo gari, alietumia hiyo gari, mwenye roho safi hatakushauri vinginevyo mkuu.

VeWe kuna magari walidesa ila sio Tuuer.
Natumia hii gari mwaka wa nne sasa, nilimvua mtu Rusumo Border pale. Sijutii hii gari kwa standard, durability, flexibility, comfortability (pure leather yoga seat), balance power, performance and Speed. Torque ya kibabe and fuel efficiency, gari ya "mjeremani" hiyo inanusa diesel mzee.
Chimbo ya vipuri "genuine" ya hii gari ni kwa Kagame tuu hapo, ukiwa Rusumo, Nyakanazi au Benako wanakuletea mkononi.

Nyongeza: Rwanda wanazo LHD, vijana wa kinyarwanda wakipata hela wana option ya Porshe Cayenne na Tuuer.
Safi sana
Maelekezo yamenyooka

Tutafute hela wakuuu🤜🤛
 
Mtu yeyote akikusimamisha barabarani ..nipigie
VW toureg one of my dream car nalikubali sana hili dude hususani likiwa jeusi 🔥🔥
Kuna jamaa mmoja ni dokta pale Moshi mjini alinunua used siku ya kwanza amekuja nalo church alinipa lift aiseee hili dudeee ni limeshindikana
 
Mzee hili dungu likiwa Black alafu zile nakshi za white strips kuzunguka vioo na pale chini inalifanya livutie mbaya zaidi ukiliwekea Sports Rims alooooh! Utasema VXR.
Nilikua nalala naliota miaka sasa nimejikota wacha nivute.
 
Hiyo ni zaidi y V8 Huko barabarani kwenye safari ndefu huwa wanapisha njia hakuna gari inakaa mbele yako..
  • 8 speed transmissions
  • dual clutch
  • turbochargered
  • DSG gear box
Jitahid uagize yaliyotumika Japan tu
Shukuran mkuu, ni njia ipi kuagiza gari, nitumie platforms kama sbt, be forward au niende kwa dealers hawa kama Jan motors? What's your insight
 
Wakuu, nataka kuagizia sasa gari ya ndoto yangu, gari inayokonga mtima wangu si ingine bali ni VolksWagen Touareg V6.
Hii gari kila nikiiona road naweweseka jinsi ilivyo body yake kubwa na muonekano wa kiume/kibabe.

Hii ni SUV yenye cockpit moja matata sana na ya kipekee.
Budget yangu ni M 35, sasa naomba kupata hints kwa mjuzi ambaye alishawahi kumiliki au kuwa close na mtu mwenye hili dungu.
Mad Max RRONDO Hamritzer
Sina cha kukushauri niko hapa kupata nondo, nalikubali sana hili gari.
Mad Max naomba upite na hapa taadhali
 
Mimi huwa naenda mwenyewe sbt na be forward
mkuu hii bei ya Total ni bei utakayolipia mpaka bandarini au imekaaje hizi Car price na Total Price tofauti ikoje?
 
Attachments

  • Screenshot_20250328_113019_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20250328_113019_Samsung Internet.jpg
    177.6 KB · Views: 37
Back
Top Bottom