KISUNZU YP Senior Member Joined Jul 30, 2016 Posts 117 Reaction score 40 Jun 6, 2022 #1 Wadau habari za leo naomba kupata majibu. Nina mpango wa KUAGIZA MZIGO wa mashine ya kusaga karanga. Je, nitaibiwa au ni salama mizigo itafika?
Wadau habari za leo naomba kupata majibu. Nina mpango wa KUAGIZA MZIGO wa mashine ya kusaga karanga. Je, nitaibiwa au ni salama mizigo itafika?
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,107 Reaction score 55,516 Jun 6, 2022 #2 Kama una mashaka, tafuta kampuni ikuagizie, wewe uilipe kampuni