Nataka kuacha kuwatafuna barmed

Nataka kuacha kuwatafuna barmed

Pole sana kaka maana naamini wewe ni mfuasi wa dini flani hapa duniani na kama hivyo ndivyo basi umemkosea mungu. Na pia nilete pongezi zangu kwako kwa kufikiria suala la busara kiasi hiki, hakuna kosa lolote lisilosameheka mbele ya mungu na ukimuomba msamaha wa kweli atakusamehe tu.Muhimu tu mkuu nadhani sio vizuri kujisifia dhambi ulizozifanya, ni muhimu kama utazifanya siri yako wewe na muumba wako mkuu. Hongera mkuu na mimi nakutakia mafanikio katika mchakato huu wa kuacha mambo hayo.
 
Kwa kweli nimetafuna wengi mno hata idadi sikumbuki. Sasa nataka niache, maana kila bar nikifika na nikaona muhudumu aliyenivutia lazima nichukue namba na next day namtafuna. Nawaasa wadau wenye tabia Kama yang sasa tuungane kuacha tabia hii.

Source: Baada ya mama watoto kanifuma na barmed pale Landmark hotel
Landmark kufunga Hostel kurudisha Hotel August
 
Kwa kweli nimetafuna wengi mno hata idadi sikumbuki. Sasa nataka niache, maana kila bar nikifika na nikaona muhudumu aliyenivutia lazima nichukue namba na next day namtafuna. Nawaasa wadau wenye tabia Kama yang sasa tuungane kuacha tabia hii.

Source: Baada ya mama watoto kanifuma na barmed pale Landmark hotel
Aisee! Mi na unywaji wangu miaka na miaka sijawahi kula baamedi hata sikumoja.
 
Mzee baba

Kula bata

Maisha ndiyo haya haya hakuna mengine.
 
Kwa kweli nimetafuna wengi mno hata idadi sikumbuki. Sasa nataka niache, maana kila bar nikifika na nikaona muhudumu aliyenivutia lazima nichukue namba na next day namtafuna. Nawaasa wadau wenye tabia Kama yang sasa tuungane kuacha tabia hii.

Source: Baada ya mama watoto kanifuma na barmed pale Landmark hotel

Ha! Kumbe wewe ndo ulifumwa pale? Pole sana mkuu, maana kama sio mimi mkeo angekuuwa kwa kisago.
 
Hope unatumia kinga,usije ukamuambukiza mama watoto wako HIV.
 
Barmaid ni kama Heroin kuacha inahitaji moyo mgumu sanaaaa... Labda uache kupiga ulabu kabisaa na bar husikanyage,,,,, Maana kuna Bar zina wadada wazuri hatari.. watoto wa kimburu na warangi hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom