Nataka kuacha kazi

Alas!.. Very interesting, am targeting mult factors to win therewith, hongera sana, am coming soon
 
Jiamini uhakika utatoka, mimi nilifanya kazi kwawaHindi miezi 8 nikaacha kazi nikaanza kampuni yangu kwamtaji walaki nane sasa mambo yamenyoka natoa ajira kwavijana wenye nguvu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Noted, am warming up for quiting job

Jiamini uhakika utatoka, mimi nilifanya kazi kwawaHindi miezi 8 nikaacha kazi nikaanza kampuni yangu kwamtaji walaki nane sasa mambo yamenyoka natoa ajira kwavijana wenye nguvu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Maisha ni kujiamini na kuwa na uhuru wa dhamira, kila kitu kinawezekana. Penye nia pana njia, songa mbele.
 

Una miradi gani hasa ?? Perhaps naweza toa ushauri / tukashauriana ki uhakika zaidi. Kama utapenda kuieleza in private, waweza ni PM.
 
Naona kama vile unachelewa mimi binafsi nimefanya maamuzi kama hayo tangu October 2013 sasa nimerudi shamba napambana na kilimo cha umwagiliaji nina amani sana. Fanya maamuzi magumu.
 
Si kazi kuacha kazi bali kazi kupata kazi, tunatafuta kazi wewe unaacha kazi,think twice,nyaka mil 500 ndo uache kazi
 
Si kazi kuacha kazi bali kazi kupata kazi, tunatafuta kazi wewe unaacha kazi,think twice,nyaka mil 500 ndo uache kazi
 
Veryy nice,always do what you believe in,entrepreneurship is the key to financial freedom,hata mimi sitegemi kukaa sana kwenye ajira
 
Naishukuru jf maana nimejifunza mengi na ya kunipa moyo ktk shughuli zangu,nimefungua kampuni lkn nimekuwa na hofu na kujitegemea ila nimeamua kuingia kwenye kilimo na wiki hii naenda kuchukua leseni ya ofisi yangu na nitafika tu kwa uweza wa Mungu maana hii kazi ninayoanzisha ni fursa kwa Tanzania na nitaitendea haki.
Nami naunga mkono mpango wako
 
Noted, am warming up for quiting job


Kifupi kama una nyumba yako binafsi unayoishi na familia yako na papo una miradi kadhaa inayokupatia kipato umeshatoka utumwani mwa ukoloni wa ajira. Kuajiriwa ni kujitia kitanzini mwa utumwa wa kiajira. Kumbuka uwapo katika kufanya kazi ya mwajiri umefungwa muda wote wa siku nzima bila kufanya shughuli zako. Pia kukugharimu safari kadhaa kufuatilia miradi yako huko ulikoiweka pamoja na kukukosesha muda wa kutosha kuwa karibu au pamoja na familia yako pendevu.

Kwa wenye malengo ya kufuata au kuiga utume wa huyu mdau ushauri kwanza hakikisha umekuwa na kibanda chako hata vile vya mbavu za mbwa vyumba vitatu tu sebule, chumba chenu na mama watoto na chumba cha watoto, sehemu nyingine mtaiongeza tu baadaye taratibu. Hapo unachochumi ni chako na gharama ya maisha kwako ni mwanga wakati wa usiku na usafiri. Ukishafikiwa kiwango hicho umeshatoka.

Usisahau kuwa na eka zako kama tatu au tano hivi, zinalipa, ukipata magunia yako matatu hadi matano ya mahindi huhitaji kununua sembe ya mitaani, huko hutakosa kupanda ananasi, mchungwa, mpapai, mpera, mfenesi nk. Tuta la mbatata na matosani (viasi ulaya), tuta la mchicha, chinese na kabeji. Nini zaidi kinachotumalizia pesa huko sokoni kama si hivyo unavyoweza kuvifanya mwenyewe?

😛eace:Vijijini hawana elimu lakini elimu ya kuishia wanayo 😛eace:
ndio maana hawakauki kama wa
MUJINI.
 

kwanza jenga.anzisha biashara kama tatu .nunua gari.arafu acha kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…