Mtumishi wa Umma
Member
- May 8, 2019
- 38
- 68
- Thread starter
-
- #21
Mie nahangaika na maisha wanambia habari za kutafuta mume kweli?bahati mbaya wanaume naowapata wanakuwa hawana msaada Zaid wananiona fursaHayo ni mapito tu,Maisha yetu yalivyo ni kama uonavyo season za vipindi vya majira katika mandhari zetu kama kuna kipindi cha joto,Masika,vumilia maisha ndivyo yalivyo,Na pia kama unauwezo jaribu kutafuta mume uolewe huenda mawazo yakakupungikia
Yes, just psychology.Mtoa mada tatizo lake naona limeegemea katika kisaikolojia, anahitaji ushauri wa kisaikolojia zaidi
Pole Sana dada ila husiache kazi kama huna other viable options, mtafute huyo Baba watoto wako awe anakusaidia Ada ya shule , mpe akaunti namba ya shuleHabari za asubuhi wana jukwaa.
Mie ni mtumishi wa umma na niliajiriwa mwaka 2013.Nina watoto wawili wa kiume,Nina viwanja vitatu ambapo kimoja nimejenga nyumba iliyoishia kwenye linta.
Toka aingie mkulu maisha yamekuwa magumu Sana,si furahii kazi yangu hata kidogo naenda tu kazini kuonekana nipo.Na siyo kuwa ni mpiga madili Wala,zamani tulikuwa tunapata hata viextra duty vinatuboost mwezi unaisha,ila saivi Nina mwaka wa tatu siijui posho.Tulikuwa tunaenda kazini hadi jmos angalau tupate chochote tulishe family.
Nimejaribu kuuza kiwanja kimoja at least nimalizie nyumba nihamie,manake Kodi inanitesa Sana huku nilikopanga ila nimekosa mteja.wanangu wanasoma mmoja baby class na mwingine class one.Bado mfanyakazi kumlipa hapo hujasaidia ndugu wanao ona nalipwa mamilioni ilihali mwisho wa mwezi napokea laki mbili na ishirini(220,000) ambayo haikidhi mahitaj yote.
Am a single parent kwahiyo mimi ndiyo baba na mama kwa wanangu.Baba yao tuliachana akaoa,na alitaka wachukua watoto ila sikuwa tayari kuacha wanangu wa under 7 years walelewe na mama wa kambo,hivyo kawasusa hatoi hata Senti tano kwaajili yao,so am their only hope.
Naona napoteza muda,nimeshafikiria hata kujirusha ghorofan ili nitoweke duniani ila nikiwafikiria wanangu roho inauma naona sitawatendea haki.So nimewaza nikaona si bora niache kazi,niuze Kila nilichonacho ingawa wateja wanakuwa tabu,nihame mji,nende sehemu nyingine nikaanze upya.Nimewaza pia kufanya nite business at least watoto wale na nipate Kodi ya nyumba,sema dhamira inakataa.
Mkuu hata Kama tulikuudhi tusamehe,tunadhalilika na familia zinateseka.Binafsi sioni faida ya kuitwa mtumishi wa umma ilhali Kuna wakati nakosa hadi nauli ya daladala kwenda kazini.Pia toka nimeajiriwa sijawahi panda cheo.
Naombeni ushauri wadau nifanyeje?je niache kazi?then niende wapi ama nifanye Nini baada ya kuacha kazi,Ningekuwa Sina watoto ningeshaondoka kitambo,tatizo mustakabali wa maisha ya wanangu utakuwaje,nikiwaza Hilo nachoka,naishia kumwaga machozi kama mtoto.
Hayo ni mapito tu,Maisha yetu yalivyo ni kama uonavyo season za vipindi vya majira katika mandhari zetu kama kuna kipindi cha joto,Masika,vumilia maisha ndivyo yalivyo,Na pia kama unauwezo jaribu kutafuta mume uolewe huenda mawazo yakakupungikia
Vipi unaweza niuzia kiwanja kimojawapo,Mie nahangaika na maisha wanambia habari za kutafuta mume kweli?bahati mbaya wanaume naowapata wanakuwa hawana msaada Zaid wananiona fursa
Kwenye hiyo 220k,toa 100k Kila mwezi ya ada za watoto,inabaki,120k,hujanunua chakula,maji na matumizi mengineyo ya nyumbani,hapo hakuna hata nguo mpya kumbukaUna tatizo kubwa la kisaikolojia kuliko la kikazi. Tsh 220K kwa mwezi kweli ni kipato kidogo lakini hakika nakuambia zaidi ya watanzania 85% hawana uhakika na kipato hicho mwisho wa mwezi, lakina hawajakata tamaa na hawajui watafarijika lini.
Tiba ya tatizo lako, kwanya ni:
- Kukubali kulea wanao, mtoe kabisa akilini mzazi mwenzio, pili jaribu kuangalia ni wapi unaweza kupunguza matumizi yako yanayoweza kuepukika, tatu unachokiona ni tatizo kwa sasa ni masuala ya muda tu na soon yataisha kwa kuwa ni upepo tu wa kisiasa hivyo usikutoe relini.
Kwa kuwa stage ya maisha uliyopo kama mtumishi wa umma wa kawaida siyo mbaya sana.
Ndoa ama mume nae anasehemu yake,Mwanamke hajakamilia akiwa hana mume pembeni yakeMwanamke anatafutaje mume na wewe
Nitafute nikushauriMie nahangaika na maisha wanambia habari za kutafuta mume kweli?bahati mbaya wanaume naowapata wanakuwa hawana msaada Zaid wananiona fursa
Hebu hao watoto wapeleke kwa baba yao kwanza. Umaskini jeuri hauna mwisho mzuri. Unapowang'ang'ania eti unamwogopa mwanamke mwenzio ulishawahi kuwaza unaweza kudedi wakati wowote na hao watoto wakalelewa na huyuhuyo mama wa kambo??Kuna faida kuonekana wafanya kazi serikalini ilhali kuna wakati walala njaa na watoto?Sina sifa za kukopesheka,yani naona nilipoteza muda hata kuhangaika na shule Kama matokeo yake ndio haya.
Unapatikana wapi mdada tuyajenge,yani wewe ni milionea mtarajiwa nipm pleaseMie nahangaika na maisha wanambia habari za kutafuta mume kweli?bahati mbaya wanaume naowapata wanakuwa hawana msaada Zaid wananiona fursa
Vipi ukihamia hata chumba kimoja karibu na kazini ukapunguza matumizi ya nauli na nguo ukawa unanunua hata kila baada ya miezi 3 bila kujali watu watasemaje maana ofisi zetu tunazijua ?Kwenye hiyo 220k,toa 100k Kila mwezi ya ada za watoto,inabaki,120k,hujanunua chakula,maji na matumizi mengineyo ya nyumbani,hapo hakuna hata nguo mpya kumbuka
Jamaa nilishamtoa akilini manake nilimsihi Sana anisaidie,akawa anasema atatuma ila akawa hatoi,so nikaacha kumwomba
Hali ni ngumu sana,bado Kodi ya nyumba,inakatisha tamaa kwakwel
Nishampatia kitambo anakujibu atalipa ila hatoi na hajawahi toa hata mia yakePole Sana dada ila husiache kazi kama huna other viable options, mtafute huyo Baba watoto wako awe anakusaidia Ada ya shule , mpe akaunti namba ya shule