Nataka kuacha kazi

Nataka kuacha kazi

leah2

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
584
Reaction score
1,441
Wandugu,

Mwenzenu naelekea kuachia ngazi maana nimechoshwa na kufanyishwa kazi kwa matamko.

Ni muajiriwa wa serikali nipo halmashauri fulani nikiwa Mkuu wa Idara nimechoshwa kufanyishwa kazi kwa matamko.

Mkuu wa Wilaya ananiendesha, Mkuu wa Mkoa anidhalilishe kisa ajira? Looh naacha kazi.
 
Wandg mwenzenu naelekea kuachia ngazi maana nimechoshwa na kufanyishwa kazi kwa matamko.

Ni muajiriwa wa serikali nipo halmashauri Fulani nikiwa mkuu wa idara nimeshoshwa kufanyishwa kazi kwa matamko.

Mkuu wa wilaya aniendesha , mkuu wa mkoa anidharirishe kisa ajira? Looh naacha kazi.
Jamani leah usiache kaziiiiiii
 
Wandg mwenzenu naelekea kuachia ngazi maana nimechoshwa na kufanyishwa kazi kwa matamko.

Ni muajiriwa wa serikali nipo halmashauri Fulani nikiwa mkuu wa idara nimeshoshwa kufanyishwa kazi kwa matamko.

Mkuu wa wilaya aniendesha , mkuu wa mkoa anidharirishe kisa ajira? Looh naacha kazi.
Lehaaa
Umeamua kuepusha msongamano
 
Wandg mwenzenu naelekea kuachia ngazi maana nimechoshwa na kufanyishwa kazi kwa matamko.

Ni muajiriwa wa serikali nipo halmashauri Fulani nikiwa mkuu wa idara nimeshoshwa kufanyishwa kazi kwa matamko.

Mkuu wa wilaya aniendesha , mkuu wa mkoa anidharirishe kisa ajira? Looh naacha kazi.

Kwakuwa ww ni wa kike hacha tu....utapata kazi nyingine.....niambie unaacha lini nitume maombi hapo?
 
Hakuna Mtu hata mmoja dunia hii ambae haendeshwi iwe direct au indirect acha ushamba ww na ufala ww uache kazi tena ya serikali kisa kuendeshwa kwani ww account yako si inasona km kawa, ngekuwa private c ungejinyonga ww
Wapo watu ambao wanatafuta kazi mpe hiyo nafasi ww acha ukae kitaa ndio utajua km kachumbari mchuzi au mboga
 
Wandg mwenzenu naelekea kuachia ngazi maana nimechoshwa na kufanyishwa kazi kwa matamko.

Ni muajiriwa wa serikali nipo halmashauri Fulani nikiwa mkuu wa idara nimeshoshwa kufanyishwa kazi kwa matamko.

Mkuu wa wilaya aniendesha , mkuu wa mkoa anidharirishe kisa ajira? Looh naacha kazi.

Pole sana. Hiyo ndo serikali yako.

Na mbaya zaidi ni pale pesa zako zilizopo kwenye hifadhi ya jamii huwezi kuzichukua.

Ukiacha kazi utaenda kufanya nini kama mbadala?
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Uache kazi kisa matamko ya wendawazimu na watafuta kick !!!???? Are you serious??
 
Achana na utumwa huo,USA kwasasa wanaajiri wageni...mana wazawa wenye akili hawataki kusikia huo upumbavu wa ajira
 
Wandg mwenzenu naelekea kuachia ngazi maana nimechoshwa na kufanyishwa kazi kwa matamko.

Ni muajiriwa wa serikali nipo halmashauri Fulani nikiwa mkuu wa idara nimeshoshwa kufanyishwa kazi kwa matamko.

Mkuu wa wilaya aniendesha , mkuu wa mkoa anidharirishe kisa ajira? Looh naacha kazi.

Naomba mfano wa matamko mawili tu: moja kutoka kwa DC na RC moja.
 
Back
Top Bottom