DOGO MIE KAKA YAKO NAKUSHAURI KWA HERUFI KUBWA...ACHA KAZI INGIA MTAANI PIGA KAZI ZAKO BINAFSI KWA BIDII NA KWA WELEDI ULIOUPATA CHUO KIKUU...MAFANIKIO UTAYAONA.
SIRI KUBWA HAPA NI KUWA UKIAMUA KUJIAJIRI MWENYEWE...KUBALI UTAFANYA KAZI ZAIDI YA MASAA 12 KWA SIKU...IPO SIKU UTAAMKA SAA 9 USIKU ILI UWEZE KUMALIZIA KAZI YA MTU UNAYOIFANYA IKIFIKA ASUBUHI SAA 2 UMESHAKABIDHI KAZI ZA WATU...IWE NI KAZI YA KUANDIKA REPORT, IWE NI KUKU WA KUPELEKA HOTELI NA MAYAI, IWE NI SAMAKI IWE NI MADIRISHA YA ALUMINIUM IWE NI NDIZI CHOCHOTE KILE UTAKIFANYA KWA AKILI MAARIFA NA ZAIDI YA HAPO...KWA WAKATI STAHIKI ILI UTENGENEZE TOFAUTI NA WENGINEO WALIOKO KWENYE USHINDANI NA WEWE.