officially E7 haitopata updates kutoka kwa manufacturer so kaa nayo hivyohivyo na kama unayo model E7000 tulia nayo ivyoivyo iko poa sanaMkuuu Chief-Mkwawa hivi sisi watumiaji wa samsung E7 lini tunaweza kupata lilpop.. Hujapata updates kuhusu hiloo.... Q
Mkuuu Chief-Mkwawa hivi sisi watumiaji wa samsung E7 lini tunaweza kupata lilpop.. Hujapata updates kuhusu hiloo.... Q
Hiyo hapo kati na nishai update once
Mkuu ni simu gan iyoo??