Akili 09 Nguvu 01
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 695
- 1,393
Nahitaji kununua gari bajeti yang ni kati ya shs Milion8 hadi milion 11
Napendelea gari mojawapo kati ya Ipsum au Wish
Plate number ianzie DQ na kuendelea
Au yeyote mwenyew Utaalamu wa kuagiza gari kutoka nje ya nchi akinisaidia kujua gharama zote adi usajili kwa gari tajwa hapo juu nitashukuru zaidi
AHSANTENI NA KARIBUNI SANA