Nataka gari la kuhimili safari ndefu

Nataka gari la kuhimili safari ndefu

wana JF habari za saa hizi,naomba kujua kati ya gari hizi(altezza,brevis,mark x,premio,mark ii grande) ipi inaweza kuhimili safari ndefu walau Dar to Tanga kwa kuzingatia utulivu barabarani na sababu zengine swala la mafuta si tatizo kwangu nalimudu.
Brevis ndo yenyewe kwa safari. Very comfortable.
 
Katika gari ulizotaja, ya kwanza ni Brevis hafu Mark X na ya tatu Mark II Grande.

Ila unavosema safari ndefu ungekua more specific. Ujue ata Passo inaweza kufika Mwanza. Tatizo ni muda na risk.

Pia hayo tuliyotaja magari yanakunywa sana wese ingawa ukiwa Highway magari yanapunguza sana ulaji wa wese.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brand ipi,maana kuna za ulaya spidi mwisho 260km/h.
ila kama unataka yeboyebo nunua tu za toyota japi hujataja budget yako.
 
Kwa hizo gari zote ulizozitaja hapo juu, Dar - Tanga wala sio safari ndefu ya kukupa wasi ukizingatia ni lami mwanzo mwisho, ingekuwa labda Mtwara - Bukoba ningekushauri ile gari inayopendwa na magaidi wote duniani yaani Toyota Hilux au Land Cruiser mkonga.
 
Kwenye orodha yako ifikilie na hii Audi A4 Avant hii inatoboa hata kigoma ni speed zako tu 220km/hr kuanzia 2005 na kuendelea.Ukiichoka hii kila mtu atataka umuuzie.
 
Back
Top Bottom