Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
wana JF habari za saa hizi,naomba kujua kati ya gari hizi(altezza,brevis,mark x,premio,mark ii grande) ipi inaweza kuhimili safari ndefu walau Dar to Tanga kwa kuzingatia utulivu barabarani na sababu zengine swala la mafuta si tatizo kwangu nalimudu.