rodgers123
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 180
- 152
Mkuu ni PM. Nina IST mbili . Moja inauzwa 10.5M na nyingine inauzwa 11.2M. Ki ukweli huwezi pata IST kwa hiyo bei ikiwa ushuru wa IST bila charge zingine ni 4.35Milioni. Ukiweka na charge zingine unaitoa kwa 5Milioni. Na kununua IST nzuri CIF haipungui dola 2400USD. Ukipiga hesabu hapo ni tayari milioni 10. Anyway kama unahitaji IST nicheki PM. Zipo 2 zimetolewa jana na kulipiwa ushuru.