Nataka gari aina ya Toyota IST, bajeti 5 to 6m

Utapata ya ml 6 lkn itakuwa no c
Bora apate C ila ilionyooka kwa 6m sio mbaya! Kinachoboa ni ile unanunua gari unaanza kuhangaika na mafundi on the spot! Inakera sana yani😅


Kagari atleast uburuze nako hata miezi 6 ndio ukabadilishe bush bush zile. Ukiweka mpya unadunda hata mwaka ndio uende tena major maintanance sio gari wewe week barabarani week garage!
 
Kununua gari kutoka mkononi mwa mtu ni hatari kidogo, uwezekano wa kuuziwa kimeo ni mkubwa. Ni jambo linahitaji umakini na utulivu mkubwa.
Tatizo kubwa sana la Tz huwa sio wa kweli na wawazi kwenye biashara, ni rahisi mnoo kuaminishwa uongo na kufichwa ukweli halisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom