Nataka demu mtanzania


hahahahahahaha
 
Lol Nairobia unatoka kisich ama wewe ni wa Gikosh,unataka msupa wa Nai ama Westi na Buru phase 1
 
Huyu naye (Dinazarde) kashika mooto sijui kama nini. Dada mie Niko hapa utani tu..........inakaa we in wale wakisalamiwa na boy wanaona no Kama wametongozwa.

Hata mi nipo hapa utani tu sihitaji mitongozoo humu yaa mitaan inanitosha mpaka nishakifiwaa,ushapataa sasa demu wa kitanzaniaaa
 
Lol Nairobia unatoka kisich ama wewe ni wa Gikosh,unataka msupa wa Nai ama Westi na Buru phase 1

Mi ni wa Bellevue Buda.......wa westi na Buru nishachoka nao sai nataka wa Darasalama kizee.
 
Nasikia wako romantic na wenye heshima kushinda wakenya. Nataka demu Mtanzania hapa ndani.

Ila ujue ni watundu sana waweza stukia umelambwa rear exit au kupewa cha kati jus for funny! Utaweza ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…