Nataka demu mtanzania

Nataka demu mtanzania

Nasikia wako romantic na wenye heshima kushinda wakenya. Nataka demu Mtanzania hapa ndani.

mzae hawa wabongo story yao rahisi, akikucheki kwanza na vile maboy wao wengi ni mamwere ata kunoki, alafu cheza na ganji fiti, hata hautamkatia, yeye ndio atakuchinjia.
 
mzae hawa wabongo story yao rahisi, akikucheki kwanza na vile maboy wao wengi ni mamwere ata kunoki, alafu cheza na ganji fiti, hata hautamkatia, yeye ndio atakuchinjia.

Ngoja niingize Dar in five weeks time niwashow....itakuwanga tu ni box na kukuta vitu mara that that - hawanioni tena.
 
Huyu sio mkenya ni mbongo. Anawazingua tu.
Trust me
 
Back
Top Bottom