Natafutwa na HESLB na Mkuu wa Mkoa

Natafutwa na HESLB na Mkuu wa Mkoa

No.even Tanzania its possible mfano mmoja ni Said Salim Bakhresa tz is not differwnt from the rest of the maisha sio GPA hata.wenye 3.8Wapo kibao mitaani mbona
Is he a graduate or dropout? Tell me Tanzanian dropout who was like him, maana yeye ana asili ya kiarabu
 
Is he a graduate or dropout? Tell me Tanzanian dropout who was like him, maana yeye ana asili ya kiarabu
Kwa hiyo asili ya kiarabu is exeptional?they dont need schooling au?wapo wengi tu matajiri.wasiojua.shule kina Papa king,kina.askofu(thomas mollel) etc sio kweli muwa matajiri wengi wanaGPA kubwa
 
Kwa hiyo asili ya kiarabu is exeptional?they dont need schooling au?wapo wengi tu matajiri.wasiojua.shule kina Papa king,kina.askofu(thomas mollel) etc sio kweli muwa matajiri wengi wanaGPA kubwa
Hahaha.... Usipanic Sasa, kwa mtazamo wa mtoa uzi kwamba betting games ndo plan B, unadhani atakuja kuwa millionaire? Hebu fuatilia hao uliotaja walianza betting games au they were hustling in front of that building you called a police on them when they are trying to make some money to feed their daughters? Split ur game, push ur wig, before you find yourself in a serious shit.
 
Kama unapata pesa ya kamali ya kulipia pool table kila siku unakosa vipi nauli ya kurudi kijiji kwenu kwenda kulima mahindi, viazi, mihogo, mtama, magimbi, viazi vikuu, ulezi, maharage, karanga, ulezi, alizeti, kahawa, pamba, ndizi, mbaazi au kurudi kijijini kufuga kuku, mbuzi, bata, nguruwe, nk?

Ewe kijana acha kudanganywa kilimo ndilo suluhisho la kila kitu.
Siyo VIWANDA tena?
 
tatizo sio uliamua kuacha makusudi...shida pass mark zako hazikuruhusu kukopesheka....ongea tu ukweli haufungwi.
Inaonekana hata shule hukwenda.Nani alikuambia LOAN BOARD Wanaangalia PassMark kUTOA MIKOPO.
 
da
Mi ntawalipa tu hakuna namna! Ila dah nakahurumia ka mshahara kangu ka ualimu, maana katabaki kadogo!! Ila namshukuru mkuu wetu mwema wa Dar es salaam mh, makonda kwa kutusafirisha bweleleee, kwenye madaradara!
madaradara?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom