OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,072
- 114,559
Toka majuzi Bodi ya Mikopo inanitafuta sijalipa mkopo walionipa pale IFM 2008-2011,wanasema nilipe mkopo na mimi sina kazi....naunga unga tu.Haijakaa sawa leo tumekimbizwa maskani na Mkuu wa Mkoa...anasema atatufata mpaka geto.Tumekalia kukosoa chama chake tu,tena hilo jiwe la msingi aliloweka T.Lissu atalivunja.Pale maskani tunafanyiaga udalali na Kubet-beti kwenye mitandao hataki kutuona TUKALIME.