tatizo sio uliamua kuacha makusudi...shida pass mark zako hazikuruhusu kukopesheka....ongea tu ukweli haufungwi.KWANI WALIKULAZIMISHA KUKUKOMPESHA,KWANINI UCHUKUE MKOPO WAKATI HUWEZI KULIPA.NA MFUNGWE TU.TULIPOACHA KUCHUKUA MIKOPO TUKAWA TUNAKULA MIKATE DAILY KWA UGUMU WA MAISHA MLITUONA MABOYA NA MIBOOM YENU.
Uliacha mkopo au ilikuwa sifa hazitoshi za kukopesheka hukuwa nazo? Funguka mkuu.KWANI WALIKULAZIMISHA KUKUKOMPESHA,KWANINI UCHUKUE MKOPO WAKATI HUWEZI KULIPA.NA MFUNGWE TU.TULIPOACHA KUCHUKUA MIKOPO TUKAWA TUNAKULA MIKATE DAILY KWA UGUMU WA MAISHA MLITUONA MABOYA NA MIBOOM YENU.
Lipa pesa weToka majuzi Bodi ya Mikopo inanitafuta sijalipa mkopo walionipa pale IFM 2008-2011,wanasema nilipe mkopo na mimi sina kazi....naunga unga tu.Haijakaa sawa leo tumekimbizwa maskani na Mkuu wa Mkoa...anasema atatufata mpaka geto.Tumekalia kukosoa chama chake tu,tena hilo jiwe la msingi aliloweka T.Lissu atalivunja.Pale maskani tunafanyiaga udalali na Kubet-beti kwenye mitandao hataki kutuona TUKALIME.
Eti aliacha dah!!Uliacha mkopo au ilikuwa sifa hazitoshi za kukopesheka hukuwa nazo? Funguka mkuu.
nimeguswa na andishi lako .Wastaafu wanapewa ukuu wa mikoa sisi toka vyuoni tuende wapi
Si kawa RC mwombeni atubembelezee kwa mama ntilie tuwe tunakula bure msosi wa mchana tuwapo mashuleni, si tunapenda vya bwelele?Mi ntawalipa tu hakuna namna! Ila dah nakahurumia ka mshahara kangu ka ualimu, maana katabaki kadogo!! Ila namshukuru mkuu wetu mwema wa Dar es salaam mh, makonda kwa kutusafirisha bweleleee, kwenye madaradara!
KWANI WALIKULAZIMISHA KUKUKOMPESHA,KWANINI UCHUKUE MKOPO WAKATI HUWEZI KULIPA.NA MFUNGWE TU.TULIPOACHA KUCHUKUA MIKOPO TUKAWA TUNAKULA MIKATE DAILY KWA UGUMU WA MAISHA MLITUONA MABOYA NA MIBOOM YENU.
Hivi betting ndo uliona inalipa? Yaani na kusoma yote IFM, kweli akili yako ikakwambia kwamba kama huna ajira best way ni betting? Yaonekana una GPA ya 1.8 si Bure. Ni hayo tu.
But Don give a shit time, victory is within a mile.
Wapi huko mkuu nije?Njoo huku tufuge,Nyie akili zote mmeweka kwenye kuajiliwa,
Kama Mwalimu ndo wewe hata kuandika vizuri hujui fani imevamiwa duh,eti DARADARAMi ntawalipa tu hakuna namna! Ila dah nakahurumia ka mshahara kangu ka ualimu, maana katabaki kadogo!! Ila namshukuru mkuu wetu mwema wa Dar es salaam mh, makonda kwa kutusafirisha bweleleee, kwenye madaradara!
fursa kwa kufunga kamba za viatu vya Makamba au?Kwani Makonda alistaafu kwanza ndio akapewa ukuu wa mkoa?fungua akili kijana tazama frusa
Tatizo, umekariri, udsm GPA ya mwisho ni 1.8,Gpa
dada GPA mwisho lecture room mtaani hamna GPA mbona kikwete ana gpa ndogo akamshinda lipumba.mwenye.GPA kubwa wakat wanagombea urais?alafu gpa zinaanzia2.0hizo za1.something zipo vyuo gani?
Tatizo, umekariri, udsm GPA ya mwisho ni 1.8,
Pia kuwa na GPA kubwa siku maanisha high probability of being employed la hasha!! Nilimaanisha, mtoa uzi kama betting games ameona ni something person can earn living, basi uwezo wake wa kufikiri ni mdogo, kama ni hivyo basi hata darasani atakuwa na GPA ndogo.
Froth, foam you got the point.
Hahaha.... But only in western nations, but if ur within Tanzania, continue to believe dropout will become millionaires.Maaana yako halisi wenye gpa ndogo.ndio.failures in life but bare in mind that most.world billioners are school drop.outs.hata maana ya gpa hawajui
Hahaha.... But only in western nations, but if ur within Tanzania, continue to believe dropout will become millionaires.
At the end of the day you will find me guilty.