Natafutwa na HESLB na Mkuu wa Mkoa

Natafutwa na HESLB na Mkuu wa Mkoa

Mi ntawalipa tu hakuna namna! Ila dah nakahurumia ka mshahara kangu ka ualimu, maana katabaki kadogo!! Ila namshukuru mkuu wetu mwema wa Dar es salaam mh, makonda kwa kutusafirisha bweleleee, kwenye madaradara!
Kama mwalimu daladala unaandika 'daradara" Hao watoto wetu si jui itakuaje.
 
sio kila mtu mseme alime,wengine wapo mjini#mpe jembe basi alime Lami.
 
Mkuu Boban wakati unaondoka IFM mimi ndio nilikuwa naingia 2011-2014...heshima kwako Mkuu
 
Mkuu unafikiri hawa wabetiji huwa wanatumia hela nyingi basi 500/= tu inawatosha japo ni kamchezzo ka hatari haka maana kama haufanyi kazi hizo hela za kubetia unatoa wapi?
Kama unapata pesa ya kamali ya kulipia pool table kila siku unakosa vipi nauli ya kurudi kijiji kwenu kwenda kulima mahindi, viazi, mihogo, mtama, magimbi, viazi vikuu, ulezi, maharage, karanga, ulezi, alizeti, kahawa, pamba, ndizi, mbaazi au kurudi kijijini kufuga kuku, mbuzi, bata, nguruwe, nk?

Ewe kijana acha kudanganywa kilimo ndilo suluhisho la kila kitu.
 
Wamefanya vizuri ili akili ziwakomaee sasa maana vivulana vingi vilikalia kazi ya kujipodoa tu Na kusahau kua ni kina Baba watarajiwa.karibuni kitaa tuchome hata maandazi kwa kuanzia.
 
Toka majuzi Bodi ya Mikopo inanitafuta sijalipa mkopo walionipa pale IFM 2008-2011,wanasema nilipe mkopo na mimi sina kazi....naunga unga tu.Haijakaa sawa leo tumekimbizwa maskani na Mkuu wa Mkoa...anasema atatufata mpaka geto.Tumekalia kukosoa chama chake tu,tena hilo jiwe la msingi aliloweka T.Lissu atalivunja.Pale maskani tunafanyiaga udalali na Kubet-beti kwenye mitandao hataki kutuona TUKALIME.
lipa deni wewe hela zote za CAG na mirungura kutoka halmashauri bado unadaiwa.......
nyie bavicha mna matatizo..................
 
Mkuu unafikiri hawa wabetiji huwa wanatumia hela nyingi basi 500/= tu inawatosha japo ni kamchezzo ka hatari haka maana kama haufanyi kazi hizo hela za kubetia unatoa wapi?

Ta Mulokozi: Asume ametoa 500/= akaliwa, anatoa tena 500/= analiwa lakini bado unamkuta yupo tu sasa hizo pesa anazitoa wapi?

Ni changamoto sana. Akili ku mutwe
 
Mi ntawalipa tu hakuna namna! Ila dah nakahurumia ka mshahara kangu ka ualimu, maana katabaki kadogo!! Ila namshukuru mkuu wetu mwema wa Dar es salaam mh, makonda kwa kutusafirisha bweleleee, kwenye madaradara!
Huo ni unafiki .....hivi wakitoa elfu hamsin mshahara wako utakuwa mdogo.....halafu huenda wewe sio mwalimu.....
 
Mikopo mliitafuta wenyewe tena kwa migomo na maandamano pale TIRDO, tena mkatishia hadi kuchoma ofisi na kuwafungia watumishi ofisini,.... leo hii unaambiwa kulipa mkopo hutaki.. anyways. vipi Ustaadh hajambo hapo NAO?
 
Njoo huku tufuge,Nyie akili zote mmeweka kwenye kuajiliwa,
 
Mi ntawalipa tu hakuna namna! Ila dah nakahurumia ka mshahara kangu ka ualimu, maana katabaki kadogo!! Ila namshukuru mkuu wetu mwema wa Dar es salaam mh, makonda kwa kutusafirisha bweleleee, kwenye madaradara!
Pole kwa kukubali kutumika kqma toilet paper. Unadhalilika mwenzako anapanda vyeo. Mxiuuuu!!!
 
Toka majuzi Bodi ya Mikopo inanitafuta sijalipa mkopo walionipa pale IFM 2008-2011,wanasema nilipe mkopo na mimi sina kazi....naunga unga tu.Haijakaa sawa leo tumekimbizwa maskani na Mkuu wa Mkoa...anasema atatufata mpaka geto.Tumekalia kukosoa chama chake tu,tena hilo jiwe la msingi aliloweka T.Lissu atalivunja.Pale maskani tunafanyiaga udalali na Kubet-beti kwenye mitandao hataki kutuona TUKALIME.
Yaonekana hiyo pedagogy uliyoipata hapo IFM imeshindwa kukukomboa, yamkini ulikua ukila bata na pesa za boom, hivi ungekua unajibana kwa boom za three years, yaani unamaaliza na mtaji juu, sasa wewe ukaona betting ndo plan B ya kuface the hardship gravity? Pole my step son.
 
Back
Top Bottom