natafute kajimama kakunilea

natafute kajimama kakunilea

kwa maisha ya sasa hivi unathubutu?? wa kulea wapo ila vigezo na masharti kuzingatiwa,
 
umri kuanzia miaka 30-35 na awe na kazi yake kwa maana mie mwenyewe cna ajira ila furaha ya kitandani ndo mahala pake.

kwa ambae anavigezo na yupo tayari anifate pm.

You must be joking, hizo shortcuts hazifai.
 
hawa ndo form four wa mullugo, facebook amekosa ndo mana kaja huku
 
umri kuanzia miaka 30-35 na awe na kazi yake kwa maana mie mwenyewe cna ajira ila furaha ya kitandani ndo mahala pake. kwa ambae anavigezo na yupo tayari anifate pm.

Abdala kichwa wazi huyo bwana, ni kiungo mdogo sana kwenye mwili huyu ila msumbufu kwelikweli, yani kama hautakuwa makini unaweza kujikuta kila siku unamtimizia shida zake huyu bwana mdogo. Kiuhalisia ni kabwana mdogo sana haka kajamaa lakini kanahusika kwenye kesi za kila aina, kwenye kuvunja ndoa za watu kamo, kwenye kusababisha watu wajiue kamo, kwenye rushwa za maofisini kamo kanahusika na usipoangalia unaweza ukajikuta unauza hadi nyumba na kutelekeza familia ili mradi tu ukatimizie haja zake.

Sasa Man sikia, hebu acha kutuaibisha gentle men humu, inaelekea haka kajamaa kanakuzidi nguvu na unashindwa kukacontrol, sasa hapo solution naona ukakate kaondoke ili uweze kufanya mambo mengine yenye manufaa kwa jamii. Maana ulivyoumbwa mwanaume, lengo kubwa nadhani lilikuwa uwe baba wa familia ulee familia yako, sasa tena wewe mwanaume tena unataka ulelewe? Bora katolewe hako kadude bwana maana naona hakana faida kwako au unaonaje?
 
umri kuanzia miaka 30-35 na awe na kazi yake kwa maana mie mwenyewe cna ajira ila furaha ya kitandani ndo mahala pake.

kwa ambae anavigezo na yupo tayari anifate pm.

Siku hizi hata mababa wanalea pia nadhani ukiweka tangazo watajitokeza fasta zaidi kama kitaa maisha unaona yamekuwa magumu na kujishughulisha hutaki wataka wa kukuletea usibague hata mabasha pia watakulea
 
Hahaha! Very interesting topic.. Na mi naona atafute basha tu ili shida zake ziishe.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom