umri kuanzia miaka 30-35 na awe na kazi yake kwa maana mie mwenyewe cna ajira ila furaha ya kitandani ndo mahala pake.
kwa ambae anavigezo na yupo tayari anifate pm.
kwan ya kitandani co kazi?
napita tu..
kwa maisha ya sasa hivi unathubutu?? wa kulea wapo ila vigezo na masharti kuzingatiwa,
You must be joking.
Ni starehe siyo kazi .........................!😛layball:
Mmmmh.
hawa ndio wanaitwa wanaume suruali
hawa ndo form four wa mullugo, facebook amekosa ndo mana kaja huku
umri kuanzia miaka 30-35 na awe na kazi yake kwa maana mie mwenyewe cna ajira ila furaha ya kitandani ndo mahala pake. kwa ambae anavigezo na yupo tayari anifate pm.
umri kuanzia miaka 30-35 na awe na kazi yake kwa maana mie mwenyewe cna ajira ila furaha ya kitandani ndo mahala pake.
kwa ambae anavigezo na yupo tayari anifate pm.
punguza kejel xaxa kilaza wewesihitaji cv yako, hainihusu.
Nimewauliza wamesema siyo Kazi ni starehe tu.............!kama co kaz waulize wahaya